Sababu za kusema hapana kwa Katiba Inayopendekezwa
Sheria ya Kura ya Maoni, Sheria namba 4 ya Mwaka 2014 inaweka masharti haya “35(3) Pale ambapo kura zilizopigwa za “NDIYO†ya swali la kura ya maoni hazijazidi asilimia 50 ya jumla ya kura halali zote zilizopigwa Tanzania Bara au Tanzania Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Wakati ukifika mnisaidie kusema hapana kwa katiba inayopendekezwa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscZRThfVVNSbCOmFiN*wfTCycf-cQ83j9rHOumWBCsBO-ETXw4K23r5SrvJRhUHdmqehVqM0-0bMb4HwLPN-Cle8/unnamed72.jpg?width=650)
MH. CHENGE AWASILISHA RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Tanzania Daima02 Nov
Nitapiga kura ya hapana kwa Katiba
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba nimejiridhisha kwamba katiba iliyopendekezwa ilipitishwa kwa hila kwa kuzingatia matakwa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutokana na mazingira ya upitishwaji...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/3brXBUnauTg/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Kwa katiba hii kura yangu ni hapana
BAADA ya kufuatilia mwenendo mzima wa Bunge Maalum la Katiba, nimejiridhisha kwamba nikizingatia mimi ni mkweli na nina uhuru wa kupiga kura ya maoni, ya kwangu ni “hapana, hapana, hapana”....
10 years ago
GPLRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUT
10 years ago
MichuziRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.
Baadhi ya wasimamizi...
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Katiba Inayopendekezwa yasambazwa kwa wingi nchini
SERIKALI imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu.