ATCL: Utawala wa Rais Kikwete umetulindia hadhi yetu
![](http://1.bp.blogspot.com/-yQ82DyqhLAo/VbXmfVFUZ4I/AAAAAAAC8_w/hGW73aSG_Ms/s72-c/dd35Jakaya-Mrisho-Kikwete.jpg)
SHIRIKA la ndege la taifa (ATCL) limeupongeza utawala wa awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete huku likibainisha kuwa licha ya changamoto zilizo likabili shirika hilo katika kipindi cha awamu hiyo bado limefanikiwa kulinda hadhi yake sambamba na kuibua mipango inayolenga kuliibua upya shirika hilo.Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na utendaji wa shirika hilo katika kipindi hicho cha awamu ya nne, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Bw....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi05 Apr
Rais Kikwete aeleza magumu ya utawala wake
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora
10 years ago
Mwananchi25 Jul
Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)
Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...
9 years ago
MichuziRais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
9 years ago
StarTV23 Sep
Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.
Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.
Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZdiEBUUgaB0/U6m85PF_sSI/AAAAAAAFssM/kqp-8-MfL9k/s72-c/New+Picture.png)
RAIS KIKWETE ATAJA MISINGI MIKUU MITANO YA UTHIBITISHO WA KUSHAMIRI KWA UTAWALA BORA NCHINI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZdiEBUUgaB0/U6m85PF_sSI/AAAAAAAFssM/kqp-8-MfL9k/s1600/New+Picture.png)
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja misingi mikuu mitano ambayo...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar12 Sep
Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha .
The post Wtz tukataee kutishwa juu ya mamuzi yetu,miaka 52 ya utawala wa ccm inatosha . appeared first on Mzalendo.net.