Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aeleza magumu ya utawala wake

Wakati makada wa CCM wakipigana vikumbo kuwania kupitishwa na chama chao kuwania urais, Rais Jakaya Kikwete anayemaliza ngwe yake amesema nafasi hiyo ni kadhia, ni kazi ngumu na si ya kukimbilia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS SHEIN ATAJA MATUKIO YALIYOTIKISA UTAWALA WAKE

DAKTARI Ali Shein, Rais wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), ametaja misukosuko aliyokumbana nayo katika utawala wake.
Mwaka huu Rais Shein anamaliza muda wake wa vipindi viwili kuiongoza Zanzibar (2010/2015 na 2015/2020), tangu alipoingia madarakani mwezi Novemba 2010.

Akihutubia wakati anavunja shughuli za Baraza la Tisa la Wawakilishi la Zanzibar, leo Jumamosi tarehe 20 Juni 2020, Rais Shein amesema utawala wake uliongoza kwa kuwa upandikizwaji chuki, dharau na...

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete apokea Tuzo ya Utawala Bora

 ,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The Category of Good governance in Africa,” wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Dkt.Migiro alimwakilisha Rais Kikwete katika hafla ya kutunukiwa Tuzo hiyo huko Afrika ya Kusini hivi karibuni.
,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo maalum ya “Africa Achiever’s Award in The...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete apewa Tuzo ya Utawala Bora

>Rais Jakaya Kikwete ametunikiwa Tuzo ya Utawala Bora Afrika kwa mwaka 2015 kutokana na jitihada zake za kudumisha na kuimarisha utawala bora nchini.

 

10 years ago

Michuzi

ATCL: Utawala wa Rais Kikwete umetulindia hadhi yetu

SHIRIKA  la ndege la taifa (ATCL) limeupongeza utawala wa awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete huku likibainisha kuwa licha ya changamoto zilizo likabili shirika hilo katika kipindi cha awamu hiyo bado limefanikiwa kulinda hadhi yake sambamba na kuibua mipango inayolenga kuliibua upya shirika hilo.Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na  utendaji wa shirika hilo katika kipindi hicho cha awamu ya nne, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Bw....

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete atunukiwa Tuzo ya Kudumisha Utawala Bora Barani Afrika

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Jitihada za muongo mzima wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuimarisha na kudumisha Utawala Bora katika Tanzania zimetambuliwa kimataifa kwa Rais kutunukiwa Tuzo la Utawala Bora Barani Afrika mwaka 2015 (Good Governance in Africa.)

Rais Kikwete ametunukiwa Tuzo hiyo na Taasisi ya African Achievers Awards yenye makao yake makuu katika Afrika Kusini kutokana na kutambua mchango...

 

9 years ago

StarTV

Wana-Afrika Mashariki waishia nje wamtunuku Rais Kikwete utawala bora

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ametunukiwa tuzo nyingine, mara hii ikitolewa na wananchi wa Afrika Mashariki wanaoishi nje hususani Marekani ikilenga kutambua utawala bora wa uongozi wake katika nchi hizo.

Tuzo hiyo imetolewa kwa ushirikiano kati ya Wana-Afrika Mashariki hao na Baraza la Biashara la Waishio Nje EADBC ambalo linaunganisha wafanyabiashara wa nchi hizo.

 

Tuzo hiyo kwa Rais Kikwete ilitolewa usiku wa Jumapili, Septemba 20, 2015, katika sherehe...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Kikwete atembelea na kuaga rasmi Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi na wafanyakazi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika ukumbi wa mikutano wa Haki House makao makuu ya Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bwana Tom Nyanduga wakati Rais alipotembelea na kuzungumza na wafanyakazi wa Tume hiyo jijini Dar es Salaam leo. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mh.Tom...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATAJA MISINGI MIKUU MITANO YA UTHIBITISHO WA KUSHAMIRI KWA UTAWALA BORA NCHINI



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail:  ikulumawasiliano@yahoo.com               press@ikulu.go.tz              Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,       THE STATE HOUSE,               P.O. BOX 9120,   DAR ES SALAAM. Tanzania.   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametaja misingi mikuu mitano ambayo...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aandaa futari kwa yatima, walemavu wa ngozi na watoto waishio kwenye mazingira magumu ikulu Dar es salaam

Yatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika mazingira magumu wakipakua futari waliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniRais Kikwete akipakua futari  na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam jana Jumapili jioniYatima, walemavu wa ngozi na watoto walio katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani