Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atiati katika timu ya baiskeli ya Rwanda

Waendeshaji baiskeli wa timu ya taifa ya Rwanda watishia kususia mashindano ya kimataifa ya 'tour of Rwanda' wakidai kiinuamgongo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Yevgeniy Fedorov: Muendesha baiskeli wa Kazakhstan ashinda Tour de Rwanda

Yevgeniy Fedorov ,wa timu ya Vino-Astana Motors ya Kazakistan ndiye aliyeshinda mkondo wa kwanza wa mashindano yam bio za baiskeli maarufu Tour du Rwanda ambayo yameanza leo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Timu 16 kuchuana CHAN 2016 - Rwanda .

Rais wa Shirikisho la Soka Rwanda Vincent Nzamwita amesema viwanja vitakavyotumika kwa mashindano ya CHAN, vipo tayari.

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ameenda Rwanda na timu ya watu 22 (Exclusive Audio)

Diamond Platnumz amesafiri na timu ya watu 22 kwaajili ya show yake ya mwaka mpya jijini Kigali Rwanda. Diamond akiongea na waandishi wa habari jijini Kigali Kwenye timu hiyo ofcourse yumo first lady Zari the Bosslady, mameneja wake, bodyguard, DJ, wapiga picha wake na dancers. Staa huyo anatarajiwa kutumbuiza kwenye matamasha mawili ambayo ni pamoja […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Elmohamady ajiondoa katika timu ya Misri

Mchezaji wa timu ya Hull City nchini Uingereza amejiondoa katika kikosi cha Misri kitakachokabiliana na timu ya Botswana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAADA YA MAUAJI YA KIMBARI: Rwanda yajikita katika maendeleo

MAUAJI ya halaiki yanayotokana na visasi, ukabila, ubaguzi wa rangi, dini na ugaidi ni matendo  yanayopaswa kupigwa vita ulimwenguni. Mauaji kama hayo yamekuwa yakitokea duniani tangu zama za kale. Mauaji...

 

9 years ago

Vijimambo

LUCY KIWIA AINGIA RASMI KATIKA TIMU YA WANANDOA

Jumapili ya tarehe 13/9/2015 ilikuwa siku ya furaha kwa bi Lucy Kiwia na familia nzima baada ya yeye Lucy kufunga pingu za maisha na bwana Asanteeli. Harusi hiyo iliyojaa mashamsham na furaha tele ilifanyika huko Baltimore Maryland. Kipekee kabisa harusi hiyo ilifanyika ndani ya Spirit of Baltimore-Cruise Ship ndogo ambayo wakati wote wa shughuli hizo ilikuwa ikirandaranda ndani ya bahari ya Atlantic na baadae ilisafiri kutoka Baltimore hadi Washington DC na kurudi tena Baltimore kupitia mto...

 

9 years ago

Bongo5

Diego Costa aachwa katika timu ya taifa ya Hispania

Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea, Diego Costa ameachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Hispania katika michezo miwili ya wiki ijayo. Kocha Vicent Del Bosque amesema hajafurahishwa na tabia ya mchezaji huyo aliyoifanya dhidi ya Arsenal. Hispania inahitaji point moja tu ili kufuzu katika michuano ya mataifa ya Ulaya na wiki ijayo itapambana na […]

 

11 years ago

Michuzi

PATA VIKOSI VYA KILA TIMU KATIKA KOMBE LA DUNIA 2014







KUNDI A Brazil
Makipa: Julio Cesar (Toronto FC, Mkopo toka QPR), Jefferson (Botafogo), Victor (Atletico Mineiro). Mabeki: Dani Alves (Barcelona), Maicon (Roma), David Luiz (Chelsea), Thiago Silva (PSG), Dante (Bayern Munich), Marcelo (Real Madrid), Henrique (Napoli), Maxwell (PSG). Viungo: Oscar (Chelsea), Fernandinho (Man City), Willian (Chelsea), Paulinho (Spurs), Ramires (Chelsea), Luis Gustavo (Wolfsburg), Hernanes (Inter Milan). Mafowadi: Bernard (Shakhtar Donetsk),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani