TIMU NIMESTUKA WAKIFANYA KWELI KATIKA JIMBO MSALALA MJINI KAHAMA
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo9 years ago
Vijimambo9 years ago
Vijimambo15 Oct
CCM WANAENDELEA KUPIGA KUSHOTO NA KULIA,MWIGULU NDANI YA KAHAMA ,USHETU NA MSALALA HII LEO
Mwigulu Nchemba Mjumbe wa kamati ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Msalala Ndg.Maige."Ilani ya Chama cha Mapinduzi imeweka bayana kuwa itajenga Reli ilikurejesha huduma za Kiuchumi zilizosimama kwa muda,Kwa hapa Msalala ujenzi wa Bandari kavu utaanza mapema baada ya kuanza kwa matumizi ya reli kama alivyoahidi magufuli.Hivyo wananchi mchagueni Magufuli akasimamie Ujenzi wa Reli,Ujenzi wa bandari kavu,Ujenzi wa barabara ya Rami kutoka Msalala kwenda...
10 years ago
VijimamboMSICHANA AOKOTWA AKIWA TABANI KATIKA UCHOCHOLO WA BAR YA GALAX MJINI KAHAMA
Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. Askari polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi . Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo...
10 years ago
Dewji Blog27 Jul
Mchakato wa kuomba kura za maoni katika jimbo la Singida mjini likiendelea katika kata mbalimbali kwa wagombea kujinadi
Mmoja wa wagombea ubunge jimbo la Singida Mjini, Hasan Mazala akiomba kura kata ya kajengo jana.
Mazala akiomba kura.
Amani Rai mmoja wa wagombea Jimbo la Singida mjini akimwaga serra zake kata ya majengo.
Mpiga picha na mwandishi wa habari Leah Samike nae amejitosa kuwania Ubunge Singida mjini.
Mmoja wa wananchi wa Majengo, Hamson Mrecha akiuliza swali mgombea.
Yage Kiaratu mmoja wa wagombea nafasi ya Udiwani Kata ya Majengo akiomba kura.
Baadhi ya wajumbe wakiwa kwenye mkutano...
10 years ago
GPLTIMU ZA BUNGE ZAPONGEZWA KATIKA TAFRIJA YA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA USIKU HUU MJINI DODOMA
Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda akiwa pamoja na Spika wa Bunge Mh. Anna Makinda na Baadhi ya Wabunge wakifurahia vikombe mbali mbali vilivyoibuliwa na Timu za Bunge la Jamuhuri katika Mashindano yha Mambunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wakiwa kwenye tafrija ya kuupokea… ...
10 years ago
MichuziTimu za bunge zapongezwa katika tafrija ya kuukaribisha mwaka mpya usiku huu mjini dodoma
Na Othman Khamis Ame, OMPR – ZNZ.Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda aliwapongeza wanamichezo wa Timu za Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuliletea sifa kubwa Bunge hilo kwenye mashindano ya michezo mbali mbali ya Kitaifa na Kimataifa. Mh. Pinda alitoa pongezi hizo katika Tafrija maalum ya kuukaribisha mwaka mpya zilizofanyika katika majengo ya Bunge la Jamuhuri Mjini Dodoma hafla iliyokwenda sambamba na kuwapongeza wanamichezo...
11 years ago
GPLMWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE
Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa kampeni zake hafla hiyo imefanyika katika Hoteli ya Ocean View Mjini Zanzibar. Â Diwani...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania