Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM WANAENDELEA KUPIGA KUSHOTO NA KULIA,MWIGULU NDANI YA KAHAMA ,USHETU NA MSALALA HII LEO

Mwigulu Nchemba Mjumbe wa kamati ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Msalala Ndg.Maige."Ilani ya Chama cha Mapinduzi imeweka bayana kuwa itajenga Reli ilikurejesha huduma za Kiuchumi zilizosimama kwa muda,Kwa hapa Msalala ujenzi wa Bandari kavu utaanza mapema baada ya kuanza kwa matumizi ya reli kama alivyoahidi magufuli.Hivyo wananchi mchagueni Magufuli akasimamie Ujenzi wa Reli,Ujenzi wa bandari kavu,Ujenzi wa barabara ya Rami kutoka Msalala kwenda...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

TOFAUTI YA CHOZI LA JICHO LA KUSHOTO NA KULIA


Binadamu akilia machozi, chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kulia ni ishara ya furaha na chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kushoto ni ishara ya huzuni na uchungu.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kwani ukisifu kulia, maana yake ni kusuta kushoto

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

9 years ago

Global Publishers

Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!

Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu.

Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi kwani vepee? Maana kama sielewielewi f’lani hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu inakuwaje wazazi? Bati freshi hata kama chama langu hana kitu masti kitu cha holidei kihapeni.

Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu Saa Godi...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOPITA HII LEO ITILIMA MKOANI SIMIYU KUWAOMBEA KURA WAGOMBEA WA CCM


Mh:Mwigulu Nchemba akichambua kuhusu swala la Uadilifu wa Viongozi na Watumishi wa serikali,Kuna watumishi wa serikali ambao hawana Vyama au sio wanaCCM lakini Wanaiba Serikalini  na dhambi hiyo inakwenda CCM.Hivyo ni muda muafaka wa Kutenganisha Wezi,mafisadi na CCM.Comrade Mwigulu Nchemba akinadi na kuwaombea kura wagombea wa ngazi zote wa CCM kata ya itilima mkoani Simiyu.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Itilima hii leo.Mwigulu Nchemba akiwaeleza wanaitilima Mkoani...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU HABARI NYINGINE HUKO IRAMBA MBIO ZA UBUNGE NDANI YA CCM,JAIRO NA WENZAKE WAJITOA,MWIGULU KUSHINDA KWA KISHINO

Mwigulu Nchemba akiondoka Viwanja vya Shelui mara baada ya Mkutano wa Kampeni Kumalizika.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wake Kata ya Shelui wakati wa Mkutano wa Kampeni ya kura ya Maoni za UBunge kuwania kuteuliwa kupeperusha Bendera ya CCM Wilaya ya IrambaMwigulu Nchemba akilakiwa na Wananchi wake kijiji cha Tulya wilayani Iramba wakati wa kampeni za Kura ya Maoni ya kuwania Ubunge ndani ya CCM.
Mwigulu Nchemba akifurahia mwenendo wa kampeni za kura ya maoni na Wananchi wake.

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA,CCM YARUSHA JESHI LA ANGA,MWIGULU AONGOZA KIKOSI...WAIMARISHA USHINDI WA KISHINDO MAJIMBO YA NZEGA HII LEO

Chama Cha Mapinduzi hii leo kimerusha Helcopta yake ya kwanza kwenye kila pembe ya Nchi kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu kwenye nafasi zote za Udiwani,Ubunge na Urais.Kazi ya kupasua anga hilo linaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Ushindi Ndg.Mwigulu Nchemba ambaye katika Jimbo lake la Iramba kwa asilimia 98 amejihakikishia Ushindi wa kishindo hapo Tar.25.10.2015Mwigulu Nchemba ambaye ni Mjumbe wa kamati ya CCM ya Ushindi na Mgombea Ubunge Jimbo la Nzega Vijijini...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOWALIZA ACT WILAYA YA BUSEGA HII LEO


Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA,MWIGULU ALIPOWASILI HII LEO UKEREWE MAPEMA ASUBUHI


Mwigulu Nchemba akiwasili Ukerewe hii
leo mapema asubuhi.Comrade Mwigulu Nchemba akiwaombea kura wogembea wote wa CCM-Ukerewe,Kubwa ni kwamba CCM ndio chama chenye Ilani inayotekelezwa hadi sasa,Na Ilani hiyo kwa asilimia kubwa imetekelezwa Nchi nzima,Hivyo wananchi waendelee kukiunga mkono.Mwigulu Nchemba akiagana na Wakazi wa Ukerewe mapema hii leo asubuhi mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa Kufunga kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Mmoja wa Viongozi wa Kidini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani