Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwani ukisifu kulia, maana yake ni kusuta kushoto

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

TOFAUTI YA CHOZI LA JICHO LA KUSHOTO NA KULIA


Binadamu akilia machozi, chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kulia ni ishara ya furaha na chozi la kwanza likitoka kwenye jicho la kushoto ni ishara ya huzuni na uchungu.

 

9 years ago

Global Publishers

Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!

Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu.

Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi kwani vepee? Maana kama sielewielewi f’lani hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu inakuwaje wazazi? Bati freshi hata kama chama langu hana kitu masti kitu cha holidei kihapeni.

Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu Saa Godi...

 

9 years ago

Vijimambo

CCM WANAENDELEA KUPIGA KUSHOTO NA KULIA,MWIGULU NDANI YA KAHAMA ,USHETU NA MSALALA HII LEO

Mwigulu Nchemba Mjumbe wa kamati ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Msalala Ndg.Maige."Ilani ya Chama cha Mapinduzi imeweka bayana kuwa itajenga Reli ilikurejesha huduma za Kiuchumi zilizosimama kwa muda,Kwa hapa Msalala ujenzi wa Bandari kavu utaanza mapema baada ya kuanza kwa matumizi ya reli kama alivyoahidi magufuli.Hivyo wananchi mchagueni Magufuli akasimamie Ujenzi wa Reli,Ujenzi wa bandari kavu,Ujenzi wa barabara ya Rami kutoka Msalala kwenda...

 

10 years ago

GPL

VALENTINES DAY IMEFIKA, TUSIPOTOSHE MAANA YAKE

Valentines Day ama kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao, huadhimishwa kila Februari 14 ambapo kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele, siku hiyo inazidi kuwa maarufu na kuadhimishwa kwa shangwe ingawa wengi hushindwa kuelewa hasa maana yake. Ukiwauliza wengi nini hasa maana ya Valentines Day, ni wachache wanaoweza kukueleza kwa ufasaha maana yake na kwa sababu hiyo, wengi wanakuwa na kawaida ya kuiadhimisha siku hiyo kwa mazoea tu,...

 

9 years ago

Global Publishers

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba

Tumekuwa tukitoa elimu muhimu juu ya afya zetu kupitia makala mbalimbali katika ukurasa huu, leo ningependa nianzishe mada muhimu na yenye mguso mkubwa kwa jamii ya wanaume wa karne hii ya sasa.

Tatizo la nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua wanaume wengi na limekuwa ni chachu ya kuvunjia kwa ndoa nyingi. Japokuwa tatizo hili linatibika na mtu akareje katika hali yake ya kawaida, wanaume wengi wamekuwa wakiona aibu kufika katika vituo vya tiba au kuonana na matatibu ili kupata ufumbuzi wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba-2

unhappy-young-couple-sitting-on-bedTatizo la kupungukiwa nguvu za kiume linaweza kuwa na sababu za kihisia Emotional Causes lakini sababu nyingine hutokana na maradhi kama vile kisukari na shinikizo la juu la damu.

Inakadiriwa kuwa asilimia 50 hadi 60 ya wanaume wenye maradhi ya kisukari wana tatizo la uume kushindwa kusimama. Watu wanaosumbuliwa na kiharusi na ulevi nao wana hatari kubwa sana kwa sababu ya uharibifu wa korodani Testicles kutokana na ulevi sugu na kupoteza Testerone. Pombe hupunguza kwa kiasi kikubwa...

 

9 years ago

Global Publishers

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba-3

blonde-woman-looking-at-unhappy-man-in-bedWiki iliyopita tuliangalia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na tuliangalia utangulizi wa mada hii, leo ningependa kuendelea na vyanzo vinavyosababisha tatizo hilo.

Zifuatazo ni baadhi ya sababu zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume walio wengi:

Kujichua kwa muda mrefu
Mtu anapojichua anakuwa anaiminya mishipa inayosababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea hivyo linapokuja suala la kusimamisha uume, mwanaume husika anakuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Mwana FA adai Hip hop imepoteza maana yake

11249868_666551486778035_1351011407_n

Mwana FA amesema hawezi kuwaunga mkono wasanii wanaopoteza misingi ya muziki wa Hip Hop kwa sababu ya kutengeneza pesa na kuacha changamoto zinazowakabili watanzania

12237384_1626174140976666_877565606_n

Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, FA alisema sio lazima kwa msanii kufanya kitu ambacho hana uhakika nacho, hata kama kinaingiza pesa nyingi.

“Iko so obvious muziki umebadilika sana, umetoka katika ile misingi iliyowekwa na sababu zake za kuwepo, umekuwa kuhusu starehe na hela peke...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani