Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LUCY KIWIA AINGIA RASMI KATIKA TIMU YA WANANDOA

Jumapili ya tarehe 13/9/2015 ilikuwa siku ya furaha kwa bi Lucy Kiwia na familia nzima baada ya yeye Lucy kufunga pingu za maisha na bwana Asanteeli. Harusi hiyo iliyojaa mashamsham na furaha tele ilifanyika huko Baltimore Maryland. Kipekee kabisa harusi hiyo ilifanyika ndani ya Spirit of Baltimore-Cruise Ship ndogo ambayo wakati wote wa shughuli hizo ilikuwa ikirandaranda ndani ya bahari ya Atlantic na baadae ilisafiri kutoka Baltimore hadi Washington DC na kurudi tena Baltimore kupitia mto...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE LUCY OWENYA AKABIDHI JEZI KWA TIMU ZILIZOFUZU ROBO FAINALI YA LUCY OWENYA CUP 2015

Dkt Fidelis Owenya akikabidhi jezi kwa vilabu nane vilivyo fuzu kucheza hatua ya robo fainali katika mashindano ya kombe la Mbunge lijulikanalo kama Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Moshi vijijini.Baadhi ya iongozi wa timu zilizofuzu hatua ya robo fainali wakifunga jezi zao mara baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya hatua ya robo fainali. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA LUCY OWENYA CUP YAMALIZIKA,TIMU YA KIBOSHO KINDI YAIBUKA MABINGWA

Mbunge wa viti maalumu Lucy Owenya (Chadema)akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kibosho Kilima kabla ya kuanza kwa mchezo wa fainali katika mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015. 
Meza kuu wakifurahi mara baada ya mwamuzi kupuliza kipyenga cha mwisho ambapo timu ya Kibosho Kindi iliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1.
Mchezo ukiendelea.
Mashabiki wa timu ya soka ya Kibosho Kindi wakifurahia ushindi huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

Manji aingia vitani rasmi, asajili kiungo, straika

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji. Na Wilbert Molandi
IMEFAHAMIKA kuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameandaa kitita cha kutosha kuhakikisha timu yao inampata mshambuliaji na kiungo wote wa kimataifa kwa ajili ya kukiimarisha kikosi chao. Manji hivi karibuni katika kikao cha marekebisho ya katiba kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Police Oficer’s Mess, Masaki jijini Dar es Salaam alitangaza kuongeza wachezaji watano...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

10 years ago

Michuzi

MTIA NIA WA NAFASI YA UBUNGE MOSHI VIJIJINI ,EVARIST KIWIA AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUPIGIA KURA

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijini Evarsit Kiwia akitoa maelezo binafsi mbele ya afisa wa tume alipofika kujiandikisha kupitia mfumo mpya wa BVR katika kata ya Old Moshi Magharibi.Kiwia akijaza moja ya fomu zinazotakiwa kujazwa wakati wa zoezi a uandikishwaji.Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini ,Evarist Kiwia akichukuliwa Taswira kwa ajili ya kupatiwa kitambulisho maalumu kwa ajili ya kupigia...

 

10 years ago

Michuzi

KUSHEHEREKEA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM MGENI RASMI RIDHIWANI KIKWETE AINGIA NEW YORK

TICKETS ON SALE NOW FOR $40 *** THEY WILL BE MORE AT THE DOOR $50SEATED 3 -COURSE DINNERFIRST CLASS SERVICERED CARPET PAPARAZZI DRESS READY FOR ACTIONHIGH LEVEL SECURITY @RICH RICH PALACE11019 ATLANTIC AVENUE RICHMOND HILL NY 11418**********************************************************PESA UNAYONUNULIA TICKET UNAPATA CHAKULA NA SOFT DRINKS KAZI KWAKO WAHI TICKET YAKO MAPEMA KWA $40 KWANI MLANGONI SIKU YA SHEREHE NI $ 50.MH. Ridhiwani Kikwete akiwa na wenyeji wake viongozi wa Tawi la CCM...

 

11 years ago

GPL

MAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO

Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi wa pili kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha Plus Jana usiku. Akina Mama Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na  maendeleo ya Makazi mara baada ya kuwasili Kijijini… ...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Timu ya Bensouda (ICC), yaanza kazi rasmi, wafanya kikao na European Election Observers

T Baada ya tarehe 25 Oktoba, chochote kinaweza kutokea kwa viongozi wetu kama ilivyotokea Kenya (2007), na Ivory Coast. Wawakilishi wa Mahakama ya kikataifa ya uhalifu wa binadamu washatua nchini Tanzania. Na tayari washakutana na waangalizi […]

The post Timu ya Bensouda (ICC), yaanza kazi rasmi, wafanya kikao na European Election Observers appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani