Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atoa mbinu za kuepusha uwapo wa makundi yanayotishia amani

MWENYEKITI wa Mtaa wa Sechelela kata ya Tambukareli Manispaa ya Dodoma ,Donald Pangaselo amewataka wakazi wa mtaa huo kuwaonya na kuwaeleza vijana suala la maadili ili kuepusha makundi ya vijana yanayotishia amani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE KUFUTA USAJILI WA MAKANISA YENYE MIGOGORO KWA LENGO LA KUEPUSHA UVUNJIFU WA AMANI NCHINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe akizungumza na maelfu ya Waumini wa Karismatiki Katoliki, Jimbo la Dar es Salaam katika maombi maalumu kwa ajili ya kuliombea Taifa yaliyofanyika Kituo cha Karismatiki, Ubungo jijini Dar es Salaam. Waziri Chikawe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika maombi hayo aliyataka Makanisa nchini kudumisha amani na utulivu na kuendelea kuliombea Taifa na kuepuka kuingia katika migogoro mbalimbali ambayo itasababisha taifa kuingia katika uvunjifu amani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama Kikwete atoa mbinu kupandisha ufaulu

MKE wa Rais, Mama Salma Kikwete, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi  (NEC-CCM) kupitia Wilaya ya Lindi Mjini, amewataka wazazi na walimu kushirikiana ili  kuhakikisha...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa shehena ya Futari ikiwemo Sukari, Mchele, Unga, Maharage na Mafuta kwa zaidi ya Watu 350 kutoka Makundi mbalimbali ikiwemo Yatima, Walemavu wa Viungo, Wasioona, Watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino na Watu wasiojiweza kama sehemu ya sadaka ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.

Msaada huo wa...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ATOA ONYO KUIBUKA KWA MAKUNDI YA KUSHAMBULIA WATU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akikaribishwa na Daktari Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Bububu Luteni Kanali Haroub Yussuf Mwalimu kwenda kumkagua Mwanachama wa CCM Marjan Suleiman Pandu aliyelazwa katika Hospitali hiyo. Marjan alishambuliwa na Vijana juzi usiku wakati akibandika picha za Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dr. Ali mohammed Shein katika maeneo ya Mlandege.Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Kijana wa Chama cha Mapinduzi Marjani Suleiman...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS DK. JAKAYA KIKWETE ATOA ZAWADI YA IDD EL HAJI KWA MAKUNDI MBALIMBALI

 Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Mwakilishi wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Regina Kuname msaada wa vyakula na kitoweo cha mbuzi na mafuta ya kula kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya ya Idd El Haji Dar es Salaam leo asubuhi. Kamshna Msaidizi Kitengo cha Walemavu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kulia), akimkabidhi Katibu Mtendaji wa Chama cha kulea Watoto Mayatima (Chakuwama) cha Sinza,...

 

9 years ago

Mtanzania

Amani atoa zawadi kwa mashabiki wake

amani4NAIROBI, Kenya

STAA wa muziki nchini Kenya, Cecilia Wairimu ‘Amani’, ametoa zawadi ya video yake mpya ya ‘Heart breaker’ kwa mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa muda mrefu.

Msanii huyo alikuwa kimya kwa muda mrefu kiasi cha kudhaniwa ameachana na muziki. Wimbo huo uliachiwa mwezi uliopita na video yake imetoka juzi,

“Najua mashabiki wangu walivunjika moyo baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu bila kuachia wimbo, lakini kwa sasa watakuwa na furaha kutokana na video hiyo mpya, kikubwa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Droo ya makundi ya Euro 2016 yafanyika, hii ndiyo listi kamili ya makundi hayo

uefa euro 2016

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Chama cha Soka cha Ulaya kimefanya droo ya makundi ya mashindano ya Euro 2016 ambayo yanashirikisha nchi 24 kutoka Ulaya na yanatarajiwa kufanyika nchini Ufaransa kuanzia mwezi Juni mwakani. Modewjiblog imekuandalia listi kamili ya hatua hiyo ya makundi;

GROUP A;

Ufaransa

Romania

Albania

Switzerland

GROUP B;

Uingereza

Urusi

Wales

Slovakia

GROUP C;

Ujerumani

Ukraine

Poland

Northern Ireland

GROUP D;

Hispania

Jamhuri ya Czech

Uturuki

Croatia

GROUP E;

Belgium

Italia

Jamhuri...

 

10 years ago

Mwananchi

Watupiana lawama uwapo wa machinga

Wakati wafanyabiashara wakiendelea kumiminika eneo hatarishi la mitambo ya umeme ya Ubungo, uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), umejitoa katika sakata hilo huku ukidai Halmashauri ya Kinondoni, Songas, Sumatra na Polisi ndiyo inahusika na usalama wa eneo hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani