Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BALOZI SEIF ATOA ONYO KUIBUKA KWA MAKUNDI YA KUSHAMBULIA WATU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akikaribishwa na Daktari Mkuu wa Hospitali ya Jeshi Bububu Luteni Kanali Haroub Yussuf Mwalimu kwenda kumkagua Mwanachama wa CCM Marjan Suleiman Pandu aliyelazwa katika Hospitali hiyo. Marjan alishambuliwa na Vijana juzi usiku wakati akibandika picha za Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dr. Ali mohammed Shein katika maeneo ya Mlandege.Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Kijana wa Chama cha Mapinduzi Marjani Suleiman...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA SHEHENA YA FUTARI KWA MAKUNDI YA WATU WASIOJIWEZA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa shehena ya Futari ikiwemo Sukari, Mchele, Unga, Maharage na Mafuta kwa zaidi ya Watu 350 kutoka Makundi mbalimbali ikiwemo Yatima, Walemavu wa Viungo, Wasioona, Watu wenye ulemavu wa Ngozi Albino na Watu wasiojiweza kama sehemu ya sadaka ya Mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Katika Shehena hiyo aliyotoa RC Makonda kila Mwananchi amepata vifurushi vyenye Mchele Kilo 5, Unga kilo 5, Sukari, kiroba cha Maharage na Mafuta ya kupikia.

Msaada huo wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makundi, Majungu, Fitina ni sumu kwa Uongozi wa CCM Zanzibar — Asema Balozi Ali Seif Idd

299

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Viongozi wa  CCM wa Jimbo la Mgogoni  katika Tawi la CCM Magogoni akiiongoza Timu ya Wajumbe wa Barza la Wawakilishi kupitia CCM ya kuimarisha nguvu za CCM katika Mikoa mbali mbali ya Zanzibar.

281

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Magogoni wakifuatilia hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif hayupo pichani aliyoitoa wakati wa ziara yake na Wawakilishi wa CCM ndani ya Jimbo hilo.(Picha na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Urussi

Rais wa Marekani ameonya Urussi kusitisha mpango wake wa kutaka kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine lasivyo iwekewe vikwazo

 

9 years ago

BBCSwahili

Nkurunziza atoa onyo kwa wapinzani Burundi

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ametoa ilani ya siku tano kwa wale aliowataja kuwa watenda mabaya kujisalimisha

 

9 years ago

Mtanzania

Mwakifwamba atoa onyo kali kwa wasanii

mwakiNA GEORGE KAYALA
RAIS wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba, amewaonya wasanii wa filamu na wale wanaounga mkono Shirikisho hilo kutogombana na amewataka waungane kwa ajili ya kufanya kazi.

Akizungumza na MTANZANIA, Mwakifwamba alisema kuwa kwa muda mrefu kumekuwa na hali ya vuta nikuvute baina ya makundi hayo ya wasanii ugomvi uliochangia kuirudisha nyuma tasnia hiyo

“Tunashukuru ugomvi umeisha, sioni sababu ya wasanii kurudia hiyo tabia ya kutupiana vijembe kwani...

 

10 years ago

GPL

KIJANA ALIYEJIUNGA NA IS ATOA ONYO KWA MAREKANI

Baadhi ya watu wanaounga mkono wapiganaji wa IS nchini Iraq na Syria. Kijana  raia wa Australia, Abdullah Elmir 'Abu Khaled' aliyejiunga na kundi la wapiganaji wa IS wanaopigana nchini Iraq na Syria ameonekana kwenye kanda ya video. Katika kanda hiyo kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 anawahutubia waziri mkuu wa Australia Tony Abbot pamoja na Rais wa Marekani Barack Obama.… ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU ATOA ONYO KALI KWA WANAOKIKA SHERIA NA KUTOA MAELEKEZO KWA NEMC

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akiongea na wadau katika kikao cha kukuza uelewa wa Sheria na Utekelezaji wa Kanuni ya Katazo la Mifuko ya Plastiki kwa Wazalishaji, waingizaji, wasambazaji na wauzaji wa Mifuko mbadala ya Plastiki. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa LAPF, Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha (kushoto) Ni Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka, Bi. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama atoa onyo kali kwa Afrika Kusini

Rais wa Marekani Barack Obama ameipa Afrika ya Kusini siku 60 kuondoa vikwazo katika bidhaa za kilimo kutoka Marekani la sivyo ataiondolea msamaha wa kodi wa bidhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani