AUDIO: THE PLAYLIST NA PROF JAY

THE PLAYLIST Ndio Show kali ya weekend inayoongozwa na Presenter Mjanja Lil Ommy kupitia 100.5 Times fm kila jumapili Saa 10 - 11 jioni. Sikiliza Ngoma 5 kali alizocheza Professor Jay kwenye THE PLAYLIST na nini alichozungumza kuhusu muziki wake, wasanii wapya waliopo na kuhusu mipango yake ya kimuziki. Pia utasikia ni wimbo gani ambao aliupa heshima ya juu na kusema kuwa ni wimbo bora wa kushrikiana uliowai kutokea katika Muziki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Prof Jay: Najivunia kiwango
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Professa Jay’, amesema ukilisoma soko la muziki hupati shida katika tasnia hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Professa Jay alisema...
11 years ago
GPL
BI MWENDA AMZIMIKA PROF. JAY
10 years ago
TheCitizen04 Sep
Prof Jay says he will be a candidate in TZ elections
11 years ago
GPL31 Jul
11 years ago
Vijimambo25 Sep
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Prof Jay: Vijana ndiyo watakaoleta mabadiliko
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Prof Jay amepanga yapi Bunge linapofunguliwa?
11 years ago
GPL04 Apr
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Prof, Jay bado alia wizi kazi za wasanii
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, bado anaendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii huku akidai kwamba mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa...