AUDIO: Zimbabwe fashionista on Beyonce
![](http://c.files.bbci.co.uk/82F1/production/_84012533_untitled-1.jpg)
Zimbabwe's Farai Simoyi is one of the rising stars of the catwalk. The designer, who has worked with Beyonce and Nicki Minaj, spoke to the BBC's Farayi Mungazi about her career.
BBC
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo505 Aug
Lil Kim atoa version yake ya ‘Flawless Remix’ na kumdiss Nicki Minaj aliyeshirikishwa na Beyonce (Audio)
Weekend iliyopita Beyonce ameachia Remix ya wimbo wake ‘Flawless’ ambao kamshirikisha rapper Nicki Minaj. Lakini inavyoonekana Lil Kim ambaye sasa ni mama hakuridhika na baadhi ya mistari ya Minaj na kuamua kumjibu kwa kutoa ‘Flawless Remix yake’ Baadhi ya sehemu zilizotafsiriwa na Kim kama ni dongo kwake katika verse ya Nicki Minaj kwenye ‘Flawless Remix’, […]
10 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/16C42/production/_83805239_gumaihove.jpg)
AUDIO: Fighting Zimbabwe's 'silent killer'
Public health efforts in Africa have focused on infectious diseases such as HIV and tuberculosis, but chronic diseases are also big killers. BBC Africa's Steve Vickers has been taking stock of heart disease in Zimbabwe.
11 years ago
TheCitizen11 Feb
Fashionista and book-worm
Kemi Kalikawe is a young Tanzanian designer and owner of NALEDI, a company that deals in interior design, fashion, and event planning based in Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y5Mcq6BCU**TnP-Lx6-E8EDV-3BFMn8vDsfteyPBadu6x-vWl9EEeDG6qEaOAmVkCWHjrb30YA4Q2-ImQkTuxQLG4IZ03yLW/beyonce.jpg?width=650)
BEYONCE KUSHIKA MIMBA SOON!
Diva wa muziki wa Pop, Beyonce Knowles. New York, Marekani
DIVA wa muziki wa Pop, Beyonce Knowles huenda akashika mimba hivi karibuni baada ya kuweka wazi kuwa yupo mbioni kupata mtoto wa pili na mumewe ambaye pia ni mwanamuziki wa Hip Hop, Shawn Carter ‘Jay-Z’. Kwa mujibu wa Jarida la In Touch linaweka wazi kuwa Beyonce (33) ambaye ni mama wa mtoto mmoja, Blue Ivy (3), kwa miezi kadhaa yupo katika kutafuta mtoto...
10 years ago
Vijimambo11 May
KAUSINGIZI KA BEYONCE NA JAY-Z
![bey4](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/bey41.jpg?resize=451%2C300)
![bey](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/05/bey1.jpg?resize=425%2C283)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SSGieiaE-NM0rF0xH24N5F0QtzmBIDj6zQRcMXfMglDNa6gbzrSJ8rMJuNqZG*aOrK6tpD9t5fYGywbD75sly7x6R1Ljea9V/KIMK.jpg?width=650)
KIM: SIJAMUIGA BEYONCE
Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian. New York, Marekani
MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian amefungukia gauni lake alilolivaa hivi karibuni na kusema kuwa hajamuiga staa mwenzake, Beyonce Knowles ambaye naye alilivaa. Beyonce Knowles. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, staa huyo alisema kwamba vazi alilovaa siku hiyo katika hafla...
11 years ago
Mwananchi09 Jun
Jennifer, Beyonce kuzindua Kombe la Dunia
Kila wakati kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia, Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) hutafuta wimbo maalumu wa fainali hizo.
10 years ago
Bongo517 Sep
Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja
Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja. “Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema. “You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania