AUNT AWATIBUA WAISLAM, SHEHE AMVAA!
Waandishi wetu STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam, Ijumaa lina ishu nzima. ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1TGmild
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHEHE: AUNT EZEKIEL HANA NDOA
Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah
SHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na kukaa mbali na mumewe kwa zaidi ya miezi sita. Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa akizungumza jambo. “Hakuna ndoa kati ya mtu yeyote ambaye amezidi miezi 6 bila kukutana na mumewe kwa mujibu wa dini ya...
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Balotelli awatibua tena Liverpool
Mchezaji wa kimataifa wa timu ya Liverpool aliwatibua wenzake licha ya kuipatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Besiktas.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Hatutawabagua Waislam:Ujerumani
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck amewahakikishia uvumilivu na ustahimilivu waislam million nne waliopo nchini humo.
11 years ago
GPLDIAMOND ACHEFUA WAISLAM
Stori: Hamida Hassan na Shakor Jongo KIJOGOO wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewachefua waumini wenzake wa
Kiislamu baada ya kutupia swaga za staili ya Ngololo kwenye shughuli ya Maulidi. Kijogoo wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz akicheza staili ya Ngololo kwenye kaswida. Tukio hilo lililowagusa waumini hao lilitokea juzikati ambapo kulifanyika Maulidi ya kumtoa nje mtoto wa...
10 years ago
GPLWAISLAM, WAKRISTO WAFANYA KONGAMANO LA AMANI
Katibu Mkuu wa Jopo la Mashehe Tanzania, Sheikh Hamis Mtaka akihutubia. Askofu wa EAGT, Philbert Mbepera akisisitiza jambo.…
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Waislam walaani kuchanwa kwa Koran Mauritania
Ghasia zimeibuka katika mji mkuu wa Mauritania Nouakchott wakipinga kuchanwa kwa nakala za Koran msikitini na watu wasiojulikana
10 years ago
MichuziWaislam Mkoani Lindi wapata elimu ya ukimwi
Katibu wa Baraza kuu la Waisalam Mkoa wa Lindi (BAKWATA) Alhaj Abdillah Salum akifunga mafunzo kwa viongozi wa Kiislam pamoja na waalim wa madrasa katika Manispaa ya Lindi kuhusiana na Vita dhidi ya VVU/UKIMWI Chini ya Uwezeshaji wa AMREF kwa Ufadhili wa Global Fund. viongozi wa dini ya kiislam wakipata mafunzo toka kwa mkufunzi wa mafunzo hayo,sheikh Shomari Mchongoma.Maelezo ya Semina hiyo.
Na ABDULAZIZ ,Globu ya Jamii - Lindi
Viongozi wa dini mkoani Lindi wameaswa kuhimiza maadili mema...
Na ABDULAZIZ ,Globu ya Jamii - Lindi
Viongozi wa dini mkoani Lindi wameaswa kuhimiza maadili mema...
11 years ago
GPLWAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM
   Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akiwahutubia waumini.
   Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
  Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…
10 years ago
GPLSHEHE AMUONYA SHILOLE
Mayasa Mariwata
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salim, amemjia juu staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole au Shishi Baby baada ya kutangaza kuwa anasali swala tano, kauli ambayo inalenga kudhalilisha Uislam kutokana na skendo zake hasa kukaa mtupu, jambo ambalo ni kukiuka maadili ya binti wa Kiislam. Staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed a.k.a Shilole au Shishi Baby. Hivi...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania