Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislam walaani kuchanwa kwa Koran Mauritania

Ghasia zimeibuka katika mji mkuu wa Mauritania Nouakchott wakipinga kuchanwa kwa nakala za Koran msikitini na watu wasiojulikana

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBC

Mauritania anger after 'Koran torn'

Hundreds of Muslims protest in Mauritania's capital, Nouakchott, after news spread that copies of the Koran had allegedly been desecrated.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA

DODOMA, Tanzania
RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa  katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nakala za kale zaidi za Koran - UK

Chuo kikuu cha Birmingham Uingereza kimegundua nakala za kale zaidi za kitabu cha kiislamu cha Koran. Takriban miaka 1300 baadaye.

 

11 years ago

GPL

WAISLAM WENYE ITIKADI KALI UINGEREZA WAHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUUA

Gemini Donnelly-Martin, 20, na mama yake Amanda (kulia) wakiongea na Adebolajo wakati Ingrid Loyau-Kennett (kushoto) akiongea na Adebowale. Pembeni kushoto ni mwili wa Lee Rigby baada ya kuuawa. Lee Rigby enzi za uhai wake akiwa na mpenzi wake Aimee West.…

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA SWALA YA EID UL'HAJJ WAISLAM NEW YORK MNAKARIBISHWA NYUMBANI KWA BILAL BROOKLYN





BAADA YA SWALA YA EID UL’HAJJ BILAL ANAWAKARIBISHA WAISLAM WOTE WA NEW YORK NYUMBANI KWAKE BROOKLYN KWA AJILI YA KIFUNGUA KINYWA NA CHAKULA. UKISOMA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWENZIO KUANZIA ASUBUHI NA KUENDELELEA. ADDRESS NI 341 LOGAN ST APT F2. BROOKLYN.NY 11208KWA WALE WAPENDA BIRIYANI BILAL NDIYO DR WA MAPICHI HAYO HAPA AKIFANYA VITU VYAKE.

 

10 years ago

Habarileo

Wasabato walaani ukatili kwa albino

KANISA la Waadventista Wasabato Nyanda za Juu Kusini, limelaani visa vya kikatili wanavyotendewa watu wenye ulemavu wa ngozi (albino), ikiwemo kukatwa viungo vyao na kuuawa, likisema watu wanaowatendea uovu huo wamelaaniwa na Mungu.

 

9 years ago

StarTV

Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson

Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi  wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kumuuliza maswali ya kejeli  na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge,  Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.

Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Akizungumzia kitendo hicho ambacho...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabunge walaani chakula kwa unene wao

Wabunge wa Afrika Kusini wamelalamika juu ya chakula kinachopikwa katika mkahawa ulio katika majengo ya bunge wakisema kinawafanya wanene

 

10 years ago

Michuzi

MARAIS WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WALAANI JARIBIO LA KUPINDULIWA KWA RAIS NKURUNZINZA - MEMBE

Na Chalila Kibuda,
Globu ya Jamii 
MARAIS wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamelaani kitendo cha baadhi ya askari kufanya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya Burundi.Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amesema  kuwa hali ya Burundi ni tete na kwamba japo linaonekana ni jambo dogo lakini linaweza kugharimu maisha ya watu. 
"Hivyo tunatakiwa tuvute subira...Tusubiri na sio kulitangaza suala hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani