Hatutawabagua Waislam:Ujerumani
Rais wa Ujerumani Joachim Gauck amewahakikishia uvumilivu na ustahimilivu waislam million nne waliopo nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXIDfFuCtHptVr9*YqYKgg7D7x612xJUJFiUHJrXMVHeXlMDNADSFCJfwibeQnPheF2WiEwgmLLKymUJyYl5oBPD/diamond.jpg?width=650)
DIAMOND ACHEFUA WAISLAM
Stori: Hamida Hassan na Shakor Jongo KIJOGOO wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewachefua waumini wenzake wa
Kiislamu baada ya kutupia swaga za staili ya Ngololo kwenye shughuli ya Maulidi. Kijogoo wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz akicheza staili ya Ngololo kwenye kaswida. Tukio hilo lililowagusa waumini hao lilitokea juzikati ambapo kulifanyika Maulidi ya kumtoa nje mtoto wa...
10 years ago
GPLWAISLAM, WAKRISTO WAFANYA KONGAMANO LA AMANI
Katibu Mkuu wa Jopo la Mashehe Tanzania, Sheikh Hamis Mtaka akihutubia. Askofu wa EAGT, Philbert Mbepera akisisitiza jambo.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vZBStZ816j1eAyo-wMhG0ElRMw2KWcP6JsTdhIGuE0wvBFZHDWV3cE-fmgDHeq*C1JGMAyYy6ZlsSeGuIBoLXQOy22wi1g4V/Aunt.gif?width=650)
AUNT AWATIBUA WAISLAM, SHEHE AMVAA!
Waandishi wetu
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye jina lake la Kiislam baada ya kubadili dini ni Rahma, hivi karibuni alifanya maulidi ya kumtoa mwanaye Cookie lakini katika hali ya kushangaza alifanya mambo ambayo yaliwatibua Waislam, Ijumaa lina ishu nzima. ... Soma zaidi===>http://bit.ly/1TGmild
10 years ago
MichuziWaislam Mkoani Lindi wapata elimu ya ukimwi
Na ABDULAZIZ ,Globu ya Jamii - Lindi
Viongozi wa dini mkoani Lindi wameaswa kuhimiza maadili mema...
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Waislam walaani kuchanwa kwa Koran Mauritania
Ghasia zimeibuka katika mji mkuu wa Mauritania Nouakchott wakipinga kuchanwa kwa nakala za Koran msikitini na watu wasiojulikana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJNINCbbiC-luiKE*opBpYQPcmV*4IWzHs8gsHQFVf772jj3tH5DAo6yg1pXUAgwG-fy4gXhlXQeyOdK44wBF0kM/1.jpg?width=650)
WAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM
   Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akiwahutubia waumini.
   Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
  Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…
10 years ago
GPLWAISLAM WASEMA SERIKALI HAINA NIA KUUNDA MAHAKAMA YA KADHI
Baadhi ya viongozi wa jumuiaza Kiislam kutoka kushoto ni Rajabu Katimba, Imamu Juma Ramahani na Ramadhani Lwambo.…
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sPTKMK5wWLA/VYdCpGfJ_bI/AAAAAAAHiWk/Mnw-vMf70Qw/s72-c/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
WAISLAM WAJUMUIKA NA WATANZANIA WENZAO KATIKA FUTARI YA PAMOJA STOCKHOLM, SWEDEN
![](http://4.bp.blogspot.com/-sPTKMK5wWLA/VYdCpGfJ_bI/AAAAAAAHiWk/Mnw-vMf70Qw/s640/unnamed%2B%252832%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-vQFGiER45hk/VYdCoxyFRdI/AAAAAAAHiWg/-VhCHwI_Dd4/s640/unnamed%2B%252839%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-U-eCXc_cnr0/VYdCpyM6LSI/AAAAAAAHiWw/VXg4oPmEsXs/s640/unnamed%2B%252842%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YEdOMn4UdmY/VYdCp382_XI/AAAAAAAHiWs/mVVMYLSipe8/s640/unnamed%2B%252845%2529.jpg)
11 years ago
MichuziJumuiya ya Waislam waJumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar waftarisha Ramadhani 27
Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kama ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari na waislamu wenzao wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.
Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar
Pichani: Maalim Abuu, sheikh Ali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania