AUNT: BILA CHETI CHA NDOA, SIMUACHI MOSE IYOBO

Chande Abdallah Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito amekuwa akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa mumewe huyo. “Kuna watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLDIAMOND, AUNT WAONGOZA SHANGWE ‘BIRTHDAY’ YA MOSE IYOBO
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale
Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.
Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.
“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Aunt Agoma Kufunguka Ndoa Yake na Iyobo
KAMA kawaida yetu katika kolamu hii kuwaleta mastaa mbalimbali na kubananishwa na wasomaji wetu katika mambo tofauti yanayohusu maisha yao kiujumla, siku ya leo tunaye staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye anafunguka mambo kedekede aliyoulizwa na mashabiki wake.
Msomaji: Naitwa Kuruthumu, napenda nije kuwa muigizaji mkubwa kama wewe, nifanyaje?.
Aunt: Nakushauri ujikite kwenye vikundi vya maigizo mpaka pale utakapokuwa fiti na kukubalika kwa waigizaji wakubwa, basi hapo utakuwa...
10 years ago
CloudsFM14 Jan
AUNTY EZEKIEL,MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO
Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.
10 years ago
Bongo502 Nov
Aunty Ezekiel adai hajutii kuwa na Mose Iyobo

10 years ago
GPL
MOSE IYOBO: HALI YA BEBI IMENIFANYA NISIENDE LONDON
11 years ago
GPL
MUME WA MTU: SIMUACHI NG’O AUNT
10 years ago
Bongo Movies28 May
Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo
Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.
Mzee wa Ubuyu