Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MOSE IYOBO: HALI YA BEBI IMENIFANYA NISIENDE LONDON

Imelda Mtema
MPENZI wa staa maarufu wa filamu Bongo Aunt Ezekiel, Moses Iyobo ambaye pia ni dansa mahiri wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa hakwenda kwenye shoo iliyokuwa ikifanyika katika Jiji la London kutokana na hali ya mpenzi wake. Akichezesha taya na Centre Spread, Mose alisema kuwa  alishindwa kujumuika na wenzake akihofia hali ya mpenzi wake hivyo alipenda kuwa naye...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Aunty Ezekiel adai hajutii kuwa na Mose Iyobo

Aunt EzekielMuigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel amesema anajisikia fahari kuwa mpenzi na mzazi mwenzake na Mose Iyobo na kwamba hajutii kuwa naye. Aunty ambaye alipanda kwenye jukwaa katika show ya Diamond na Wizkid weekend iliyopita na kumtunza Moses ambaye ni dancer wa hitmaker huyo, ameiambia Bongo5 kuwa anampenda mpenzi wake ndio maana anamsupport katika kila anachokifanya. […]

 

10 years ago

CloudsFM

AUNTY EZEKIEL,MOSE IYOBO WADHIHIRISHA PENZI LAO

Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amedhihirisha penzi lake na dansa wa msanii Diamond Platinumz,Mose Iyobo baada ya picha yao wakiwa wamekaa kimahaba iliyosambaa mtandaoni.

Mara kadhaa msanii huyo wa Bongo Movie amekuwa akikana kuwa hana uhusiano na dansa huyo na kutoweka wazi mhusika wa ujauzito wake hivyo picha hiyo imeonyesha kuwa Mose Iyobo kuwa ni mhusika wa ujauzito huo.

 

10 years ago

GPL

AUNT: BILA CHETI CHA NDOA, SIMUACHI MOSE IYOBO

Chande Abdallah
Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito amekuwa akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa mumewe huyo. “Kuna watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Huyu Hapa ‘Cookie’ Mtoto wa Aunty Ezekiel na Mose Iyobo

Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi  picha hii kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja na mtoto wao waliompa jina la COOKIE

"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu.

Mzee wa Ubuyu

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, AUNT WAONGOZA SHANGWE ‘BIRTHDAY’ YA MOSE IYOBO

Mose Iyobo (kulia) akimlisha keki Diamond, usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Regence Hotel, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Mose Iyobo akimlisha keki msanii wa filamu, JB.
Mmoja wa madansa wa Diamond aitwaye Dumy, akilishwa keki na Mose Iyobo.…

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel: Nimezaa na Mose Iyobo Lakini Ndoa Yangu Ipo Pale Pale

Muigizaji wa filamu, Aunty Ezekiel ambaye hivi karibuni alijifungua mtoto wa kike, amedai kuwa licha ya kuzaa nje ya ndoa, bado anaamini ndoa yake ipo pale pale.


Akizungumza na Bongo5 leo, Aunty aka Mama Cookie, amesema aliamua kuzaa na Moses Iyobo, dancer wa Diamond Platnumz kwakuwa muda wa kuwa mama ulikuwa umefika.


“Mimi niliamua kupata mtoto baada ya kuona wakati umefika,” amesema.
“Kwasababu siku zinaenda pamoja na umri inabidi maisha yaendelee mbele. Ndoa yangu ipo kama ilivyokuwa...

 

10 years ago

GPL

BEBI MPYA WA DIAMOND AIKUMBUKA BONGO? AU?

Dakika chache baada ya kuondoka Bongo na kukwaa pipa, bebi mpya wa Diamond, Zari 'The Boss Lady' akiwa ndani ya ndege alionekana mwenye mawazo mazito katika picha alizotupia juzi kwenye fan page yake ya Face Book na Instagram ikisindikizwa na maneno:  " miss you already TZ.....deep Mawazu...." . Imedaiwa na wadau alikuwa anaamanisha kumkumbuka 'Sukari ya Warembo' zaidi kuliko TZ.....! ...

 

10 years ago

GPL

BATULI: SIASA IMENIFANYA NIFUNGE MDOMO

MSANII wa filamu Bongo, Yobunesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa ukimya wake wa kipindi hiki ni kutokana na mambo ya siasa yanayoendelea hivi sasa hivyo ameamua kufunga mdomo wake.Akizungumza na Amani, Batuli alisema kuwa ukimya wake unamsaidia sana ndiyo maana ashabikii upande wowote mpaka maamuzi yatakapotolewa ni chama gani kitatawala nchi yetu.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1TwelNv ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani