Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNTY: MWANANGU ATANIFUTA MACHOZI YA KUFIWA

Na Laurent Samatta/Uwazi MKALI wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel amefunguka kuwa pamoja na kupoteza wazazi wake miaka kadhaa nyuma pindi akiwa mdogo, anaamini mtoto atakayejifungua atamfuta machozi ya muda mrefu ya kuwapoteza wazazi wake. Mkali wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel. Aunty alifunguka ishu hiyo kwa upole, ambapo alisema kifo cha wazazi wake kilimfanya kulelewa na bibi yake pamoja na shangazi. “Kutokuwa na wazazi ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel: Sipendi Mwanangu Awe Mwigizaji

Staa wa Bongo Movie,Aunty Ezekiel amefunguka kuwa hapendi mtoto wake aliyejifungua hivi karibuni aitwaye Cookie,awe mwigizaji wa filamu kama yeye.

Akizungumza na Clouds Fm,alisema kuwa atakachofanya kama mzazi anataka mtoto wake asome na kama akiwa mwigizaji basi iwe kama kazi yake ya ziada siyo anayoitegemea kwenye maisha yake.

‘’Binafsi sipendi mwanangu awe mwigizaji kama mimi,na siyo lazima kama mimi mama yake niwe mwigizaji na yeye awe hivyo kuna kazi nyingi ila ninachotaka asome sana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Cassim Mganga, Aunty Ezekiel watembelea mjengo mweupe, Aunty asaini kitabu ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Washington, Dc

IMG_5858

Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014.

 Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC  Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.  Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC.  Cassim Mganga akipata picha nje ya mjengo mweupe wa Obama

Aunty Ezekiel akipata picha nje ya mjengo wa Obama.

IMG_5896

Shabiki akipata picha...

 

10 years ago

Michuzi

CASSIM MGANGA, AUNTY EZEKIEL WATEMBELEA MJENGO MWEUPE, AUNTY ATIA SAINII KITABU UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, WASHINGTON, DC



 Aunty akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne Sept 16, 2014. Aunty Ezekiel akipata picha ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC Aunty akipata picha nje ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Aunty na Cassim Mganga wakipata menu ndani ya jiji la Washington, DC Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga  Shabiki akipata picha na wasanii Aunty na Cassim Mganga

 

10 years ago

Vijimambo

Taarifa ya Kufiwa:

 Mwanajumuiya mwenzetu wa New York Bi Dyness Mosha amefiwa na kaka yake mkubwa- ghafla kutokana na pumu. Marehemu, Bw. Romeli Mosha, alikuwa akiishi mkoani Kilimanjaro, Tanzania mpaka mauti yalipomkuta siku ya Jumanne wiki hii. Tunaweza kuwasiliana na Dyness kumpa pole kwenye na namba ya simu (914) 356-7328 Shukran, Jumuiya ya Watanzania NY.

 

10 years ago

GPL

LULU APATA PIGO LA KUFIWA

Imelda Mtema na Musa Mateja MSIBA! Staa mwenye umri mdogo anayekimbiza katika filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amepata pigo baada ya kufiwa na bibi yake mzaa mama, Leonadina Mboneko (pichani), aliyefariki dunia juzi asubuhi katika Hospitali ya Masana, iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1gbWwq8

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini kufiwa na mwenza kunamaanisha kuwa na njaa?

Kwa kawaida kifo cha mtu uliyefunga nae pingu za maisha huwa kinasikitisha sana, lakini baadhi ya taratibu za kimila zinazofanyika katika maeneo mbalimbali duniani zinaweza kumfanya mjane kuumia hata zaidi

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amfariji mzee Ndejembi,kwa kufiwa na mjukuu wake

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na mdogo wa marehemu Betty Ndejembi, Aisha Ndejembi aliyeuawa wiki mbili zilizopita jijini Dar es salaam.Pembeni ni Mzee Pancras Ndejembi na Mama Ndejembi ambao marehemu alikuwa mjukuu wao.Mh Lowassa alikwenda nyumbani kwa mwanasiasa huyo mkongwe eneo la Uzunguni mjini Dodoma kumpa pole ya kufiwa na mjukuu wake huyo. Mzee Ndejembi akimuelezea Mh Lowassa mkasa mzima wa kifo Cha mjukuu wake, Betty Ndejembi aliyeuawa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania Bloggers Network wamfariji Mzee Kitime kwa kufiwa

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamuziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa juzi na mkewe, tukio hilo lilifanyika jana Kimara eneo la Nguzo ya 800, jijini Dar es Salaam. Mzee Kitime ni mwanachama wa TBN.

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa fedha zilizotolewa na wanachama wa TBN jana eneo la Kimara Nguzo ya 800 jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wajumbe wa TBN walifika kumfariji Kitime ambaye pia ni mwanachama wa TBN.

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akitoa ujumbe wa pole kwa John Kitime na waombelezaji mara baada ya kukabidhi ubani wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani