Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Awamu ya pili ya mazungumzo ya Syria

Awamu ya pili ya mazungumzo kati ya makundi ya upinzani katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria yameanza rasmi huko Geneva hii leo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AZINDUA WA BARABARA YA MKAPA AWAMU YA PILI

Makamu wa Pili wa Rais Balozi Zanzibar Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Barabara ya Amani- Mtoni kwa awamu ya pili ya ujenzi wake katika shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. (kushoto alievaa kofia ya pama) Katibu Mkuu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Malik Akili.Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi akikata utepe kuzindua Barabara ya Mkapa iliopo Amani-Mtoni ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi matukufu ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE, ALHAJ ALI HASSAN MWINYI AHUDHURIA CHAKULA CHA JIONI. Posted: 30 Apr 2015 12:57 PM PDT Mhe, Balozi Liberata Mulamula akiwa na wageni wake Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe, Alhaj Ali Hassan Mwinyi pamoja na mama Sitti

Mbunge wa Mvomero Mh, Amos Makalla ameridhia pendekezo la wananchi kumuona Waziri Mkuu Mh, Mizengo Pinda kufuatia mapigano ya wakulima na wafugaji yaliyotokea wiki iliyopita ambapo watu watatu walipoteza maisha huku wengine wengi wakijeruhiwa baada ya wafugaji kulishia Mazao ya wakulima katika mashamba yaliopo bonde la mgongola.  Kutokana na hali hiyo, Mbunge huyo kwa kushirikiana na Mkuu wa wilaya na kamati ya ulinzi na usalama waliitisha mkutano wa hadhara kijiji cha Kugugu kuongea na...

 

10 years ago

Michuzi

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk.Helen Kijo-Bisimba (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitoa taarifa kuhusu awamu ya pili ya kampeni ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili (Kampeni Gogota). Kulia ni Mratibu wa Dawati la Katiba wa kituo hicho, Anna Henga na Mwanasheria wa Kituo hicho, Harold Sungusia.
Wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

11 years ago

Mwananchi

Mazungumzo yadoda nchini Syria

Pande ambazo zinapingana Syria zimeshambuliana kuhusiana na kushindwa kupata mafanikio halisi katika mazungumzo ya amani mjini Geneva, huku kukiwa na shaka juu ya ushiriki wa serikali katika duru mpya ya majadiliano

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani Syria kushiriki mazungumzo

Baada ya mjadala mkali, kundi la upinzani nchini Syria limekubali kuhudhuria mazungumzo ya amani mjini Geneva wiki ijayo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Iran kutohudhuria mazungumzo ya Syria-UN

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amefutilia mbali mwaliko uliotolewa kwa Iran kuhudhuria mazungumzo ya amani ya Syria nchini Uswisi

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo kuhusu Syria yanaendelea Geneva

Siku ya kwanza ya mazungumzo ya amani kati ya wawakilishi wa serikali ya Syria na waasi yanatarajiwa kuanza mjini Geneva nchini Uswizi

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Awamu ya pili

Kwenye makala zake hizi za kila wiki, Tido Mhando ambaye amefanya kazi ya utangazaji wa redio kwa muda mrefu sana anahadithia baadhi tu ya mambo aliyokabiliana nayo kwenye kipindi chote hicho cha zaidi ya miaka 45 sasa.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Awamu ya pili inakuja

Aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amesema awamu ya pili ya safari yake ya kuelekea Ikulu ndio kwanza imeanza na kuwataka watu wote wanaomuunga mkono kutokata tamaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani