Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Awamu ya Tano Yafanikisha Ndoto ya Wananchi Uyui

Na Frank Mvungi- MAELEZO.

Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ndoto ya wananchi wa Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora kufikiwa na huduma bora za afya katika maeneo yao.

Akizungumza katika mahojiano maalum wilayani humo, Mkuu wa Wilaya, Gift Msuya amesema kuwa kwa sasa wananchi wa wilaya hiyo wanafikiwa na huduma za afya kupitia vituo vya afya vilivyojengwa na vile vilivyoboreshwa katika kipindi cha miaka mine iliyopita.

“ Tumekamilisha ujenzi wa Hospitali ya Wilaya iliyogharimu Shilingi bilioni 1.5...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAWAZIRI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO WAAPISHWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Hussein Mwinyi kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ,Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Wiliam Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Sheria na Katiba.
  Rais wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Hakika, rais wa awamu ya tano atateseka

Ni dhahiri kwamba rais ajaye wa awamu ya tano nchini mwetu atakuwa na wakati mgumu pengine kuliko ilivyokuwa kwa watangulizi wake wanne.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Serikali ya awamu ya tano itakuwa ya viwanda

Mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli amesema iwapo atapewa ridhaa ya kuwa rais atahakikishwa Tanga inakuwa mji wa viwanda.

 

5 years ago

CCM Blog

MAKALA: AWAMU YA TANO IMEKOLEZA RADHA YA TANZANIA


Na Mwl. Salehe S. MsongaUVCCM CHAMAZI


UTANGULIZI:

Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!

Mnamo 02/06/2018 niliandika Makala iliyoitwa ‘SIRI KUBWA YA CCM HII HAPA’, ni Makala iliyosambazwa kwenye makundi ya WhatsApp na ilijikita zaidi katika kuonesha ni siri gani inayoifanya CCM kushinda na kuwa na uhakika wa kushinda kila chaguzi kuu nchini, ambapo mwandishi aliivujisha siri hiyo hadharani ya kuwa ni KUHANGAIKA NA SHIDA ZA WATU kupitia utekelezaji mzuri wa ilani yake. Leo mwandishi yule yule nakuja na...

 

9 years ago

Raia Mwema

Wapinzani wana kazi ngumu awamu ya tano

KUWA katika kambi ya upinzani ilikuwa ni kazi rahisi zaidi wakati wa awamu tatu za serikali ziliz

Njonjo Mfaume

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YA AWAMU YA TANO ITAKUWA NI YA VIWANDA-MAGUFULI

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt Magufuli akiwasalimia maelfu ya Wananchi waliofika katika uwanja wa Barafu mjini Igunga,Dkt Magufuli aliwahutubia wananchi hao. Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Dk.John Magufuli akisisitiza mbele ya maelfu ya Wakazi wa mji wa Igunga jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara kuwa Serikali ya awamu ya tano itajenga viwanda mbalimbali vikiwamo viwanda vya nguo ikiwa ni mkakati wa kuinua zao la pamba ambalo linalimwa...

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Magufuli rais wa awamu ya tano

MGOMBEA urais wa Jamhauri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Serikali ya Tanzania kwa asilimia 58.46 ya kura zote zilizopigwa kufuatia uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika tarehe 25 mwezi huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kashfa tano zimeitesa Serikali ya awamu ya nne

Ndugu wasomaji wangu leo nikiwa hapa hapa Tanzania baada ya mwaka wa 2014 kugeuka na sasa tuko 2015, ni mwaka ambao kwanza kwa maombi yangu na kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu tuliouona mwaka 2015 tujiandae kwa mengi makubwa.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATAJA MAFANIKIO MAKUBWA YA AWAMU YA TANO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma Hotuba ya Kukamilika kwa Shughuli za Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge, Bungeni Jijini Dodoma, Juni 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

******************************

15 Juni, 2020

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kipindi cha miaka mitano imepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kurekebisha nidhamu kwa watumishi wa umma na uwajibikaji Serikalini, hivyo kuwezesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani