Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Awasha moto kituo cha petroli kwa kuogopa buibui

Mwanamume mmoja raia wa Marekani amewastaajibisha wengi baada ya kuwasha moto kituo cha kuuzia mafuta ya petroli eti anachoma buibui.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.CHANZO MICHUZI BLOG

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ.....: Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa lateketea kwa moto

Transfoma la kituo kikuu cha umeme cha Mgololo Mkoani Iringa likiteketea kwa moto mchana baada ya kulipuka ghafla,chanzo kilichepekea kulipuka kwa Transfoma hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa na hali hiyo itapelekea baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mbeya na Njombe kuwa gizani kwa muda.Taarifa zaidi zitawajia baadae kidogo.
Washuhuda wakiangalia Mtambo huo unavyoendelea kuteketea kwa moto mchana huu.

 

11 years ago

Habarileo

Kituo cha Radio chateketea kwa moto

KITUO cha kurusha matangazo ya radio cha dini ya Kiislamu cha Alnoor kimeteketea kwa moto ikiwemo studio zake tatu. Mkurugenzi mkuu wa Radio Alnoor, Mohamed Suleiman Tall, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo alisema chanzo chake kikubwa ni hitilafu ya moto katika kituo kikuu cha umeme.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm awasha moto

pluijm*Awajia juu mastraika wake, Ngoma arejea kuiua African Sports

HASSAN BUMBULI NA OSCAR ASSENGA, TANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema kurejea kwa mshambuliaji Donald Ngoma kutaongeza matumaini ya ushindi kwa kuwa nyota huyo ana uwezo wa kufiti kwenye kombinesheni mbili muhimu alizoziunda.

Kurejea na straika huyo Mzimbabwe ambaye ni mkali wa kupachika mabao  kunaweza kumaliza tatizo la ubutu wa safu ya ushambuliaji iliyoonekana juzi katika mechi dhidi ya Mgambo Shooting...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe awasha moto Kalenga

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema hawako tayari Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itumie daftari la wapiga kura Jimbo la Kalenga lililochakachuliwa wakidai kwamba ...

 

11 years ago

Mwananchi

Zitto awasha moto Chadema

Siku moja baada ya kuwasilisha maelezo yake ya utetezi baada ya kuvuliwa nyadhifa zake ndani ya Chadema, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe amekata rufaa Baraza Kuu kupinga hatua hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AWASHA MOTO SHINYANGA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi.
Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta binafsi na kuwajengea uwezo wafanya biashara ndogo ndogo ili waweze kujiendeleza.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani