MAGUFULI AWASHA MOTO SHINYANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ojo6ZIAp-S0/Vga2S7HV14I/AAAAAAAAocA/wRctY5PxDZc/s72-c/1.jpg)
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Shinyanga mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kambarage ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa wakati umefika wa kujenga Tanzania mpya yenye viwanda vya kutosha kutoa ajira kwa vijana wengi.
Alisema pia kuwa Serikali yake itakuwa rafiki wa sekta binafsi na kuwajengea uwezo wafanya biashara ndogo ndogo ili waweze kujiendeleza. Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Pluijm awasha moto
*Awajia juu mastraika wake, Ngoma arejea kuiua African Sports
HASSAN BUMBULI NA OSCAR ASSENGA, TANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema kurejea kwa mshambuliaji Donald Ngoma kutaongeza matumaini ya ushindi kwa kuwa nyota huyo ana uwezo wa kufiti kwenye kombinesheni mbili muhimu alizoziunda.
Kurejea na straika huyo Mzimbabwe ambaye ni mkali wa kupachika mabao kunaweza kumaliza tatizo la ubutu wa safu ya ushambuliaji iliyoonekana juzi katika mechi dhidi ya Mgambo Shooting...
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Zitto awasha moto Chadema
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mbowe awasha moto Kalenga
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema hawako tayari Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) itumie daftari la wapiga kura Jimbo la Kalenga lililochakachuliwa wakidai kwamba ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2xPSDbl5pygbhdqFYxDQT77u-egloJDkLq*rhjx9VL0gN6C1HtL5rphs7Lgf47Lsc7-oQ2Sc49wSTHUY0pgH9rRNRJQbKCpg/ligolabungeni.jpg)
KANGI LUGOLA AWASHA MOTO BUNGENI
11 years ago
Mwananchi20 Apr
Profesa Kabudi awasha moto Katiba Mpya
11 years ago
Mwananchi23 Jan
Profesa Lipumba ‘awasha moto’ wa Katiba Zanzibar
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Awasha moto kituo cha petroli kwa kuogopa buibui
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RYKaHZPDsRI/U204F-9ed2I/AAAAAAACgpk/NtCH_bwjkXM/s72-c/13.jpg)
KINANA AWASHA MOTO IGUNGA,AWAMWAGIA SIFA LUKUKI VIONGOZI VIJANA WA WILAYA HIYO KWA UBUNIFU WA MIRADI YA VIJANA YA KUJIKWAMUA NA UMASKINI
![](http://4.bp.blogspot.com/-RYKaHZPDsRI/U204F-9ed2I/AAAAAAACgpk/NtCH_bwjkXM/s1600/13.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-habGae4_mPI/U204ZANRrgI/AAAAAAACgps/bMN7gAgwMI4/s1600/14.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza
MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...