Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM FC WAENDELEA NA MAZOEZI LEO

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Twiga Stars waendelea kupiga mazoezi Karume

TIMU ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ inayonolewa na Kocha Mkuu Rogasian Kaijage, imeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi utakaochezwa Novemba 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Azam Chamazi.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Singano kuanza mazoezi leo

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Ramadhan Singano ‘Messi’, aliyejiunga na kikosi hicho hivi karibuni leo atakuwa sehemu ya mazoezi ya wachezaji wa timu hiyo ambao hawakwenda kwenye ziara ya Tanga, huku akitarajiwa kujiunga rasmi timu ikirudi kutokea mkoani humo.

Mchezaji huyo wa zamani wa Simba atafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Ofisa Habari wa kikosi hicho, Jaffar Iddy alisema jana kuwa, mchezaji huyo leo ndio ataanza...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ABDULRAHMAN KINANA NA RAIS MSTAAFU, ALI HASSAN MWINYI WATEMBELEA GYM YA MAZOEZI YA TIMU YA AZAM FC, CHAMAZI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakijaribu kufanya mazoezi katika mashine zilizo ndani ya Gym ya mazoezi ya timu ya Azam Fc, wakati walipotembelea Gym hiyo kujionea leo baada ya hafla ya uzinduzi wa Msikiti wa ‘Masjidil Huda’, kwenye Uwanja wa Chamazi, jijini Dar es Salaam, leo Julai 4, 2014. Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Nyamos & Leo Mystereo – Mazoezi

IMG-20140927-WA0005

Wimbo mpya kutoka kwa wasanii wawili Nyamos na Leo Mystereo single inaitwa “MAZOEZI” Producer Duppy.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO

Kutoka kushoto, Ibrahim Ajib , Jonas Mkude na Said Ndemla (nyuma yao) wakiwa katika mazoezi ya kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars leo kwenye Uwanja wa Edenvale kwenye kitongoji cha Edenvale jijini Johannesburg, Afrika Kusini.. Beki wa kati wa Stars, Hassan Isihaka (kulia) akijiandaa kumpiga chenga kiungo wa  timu hiyo, Mudathir Yahaya. Kocha wa makipa wa Stars, Manyika Peter… ...

 

10 years ago

Michuzi

Madereva waendelea na Mgomo wao leo

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akiwa katika majadiliano na Maafisa wa Jeshi la Polisi juu ya namna ya kuumaliza mgomo wa Madereva wa Mabasi katika stendi kuu ya Ubungo, Jijini Dar es salaam leo. Hapo wanasubiriwa viongozi wa Madereva hao.Hali ilivyo Stendi Kuu ya Mabasi, Ubungo jijini Dar hivi sasa. hakuna basi lililoweza kuondoka siku ya leo.
Kikao cha nje kikiendelea.
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto) akiambatana na Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama...

 

11 years ago

GPL

MAZOEZI YA MWISHO YA YANGA KABLA YA KUWAVAA AL AHLY LEO SAA 2 USIKU

Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika Young Africans Sports Club wakifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria tayari kwa mchezo marudiano kati ya mabingwa watetezi Al Ahly leo saa 2 usiku. (PICHA NA SALEH ALLY / GPL,…

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SIKU YA KILELE CHA MAZOEZI KITAIFA,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa akiwa na Viongozi wengine yaliyoanzia katika Uwanja wa Tumbaku hadi Uwanja wa Amaan Studium leo asubuhi ambapo yamejumuisha Vikundi mbali mbali vya Unguja na Pemba.Miongoni mwa vikundi vilivyoshiriki katika matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa ni kikundi cha KVZ Fitness Group kikiwa katika hali ya ukakamavu na nidhamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani