Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam kamili kuikabili Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC imerejea salama jijini Dar es Salaam juzi na jana waliingia kambini mchana kujiwinda na mchezo wake ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Simba utakaochezwa Desemba 12, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Azam kamili kuivaa Simba

WACHEZAJI wa Azam FC wamesema mafunzo wanayopewa katika kambi yao ya Tanga yanatosha kuwamaliza wapinzani wao Simba Jumamosi wiki ijayo.

 

9 years ago

MillardAyo

Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …

Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]

The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba yarudi Dar kuikabili Gor Mahia

Timu ya Simba inarudi jijini Dar es Salaam kesho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, huku kocha Patrick Phiri akitarajia kuwatumia washambuliaji wake wapya wa kigeni Mkenya Raphael Kiongera na Mganda Emanuel Okwi.

 

9 years ago

Habarileo

Singano kamili kuibeba Azam

WINGA Ramadhani Singano ‘Messi,’ amesema yupo tayari kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam FC kinachoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuzoea mfumo unaotumiwa na kocha Stewart Hall.

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam kamili kwa Mapinduzi

YANGA na Azam FC zinatarajia kuondoka leo kwenda Zanzibar kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza keshokutwa mpaka Januari 13 kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

 

11 years ago

Mwananchi

Azam kamili, Mzungu Yanga bado

>Wakati kocha wa Azam FC, Joseph Omog akitamba kupata kila kitu pamoja na mikanda ya video ya Feroviarrio, mwenzake wa Yanga, Hans Van Pluijm, amekiri kwamba hajui lolote kuhusu wapinzani wao Commorozine.

 

11 years ago

Michuzi

WAPINZANI WA AZAM FC WATUA DAR KAMILI JIONI HII TAYARI KWA MECHI JUMAPILI

Na Bin Zubeiry Ferroviario wakiwa mbele ya basi la Azam FC liliwapokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Azam inacheza kwa mara ya pili mwaka huu michuano hiyo ya Shirikisho, baada ya mwaka jana kutolewa hatua ya 16 Bora na AS FAR Rabat ya Morocco, ikiwa chini ya kocha Muingereza, Stewart John Hall, aliyejiuzulu Novemba mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Mcameroon, Joseph Marius Omog.   Azam imekuwa kambini katika hosteli zake za kisasa zilizopo...

 

10 years ago

Michuzi

WACHEZAJI WA SIMBA KAMILI YAENDA ZANZIBAR KUWEKA KAMBI YA MAZOEZI

 Baadhi ya wachezaji wa Simba wakielekea kupanda boti katika Bandari ya Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda Zanzibar kwenye kambi ya mazoezi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara, inayotarajiwa kuanzai hivi karibuni. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha. Mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (wa pili kushoto) akiwa na wachezaji wenzake. Wachezaji wa Simba wakiwa wamepozi kwa picha.Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa katika boti kabla...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani