Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam Media yaichangia Taswa

KAMPUNI ya Azam Media imetoa Sh milioni 10 kuchangia sherehe za tuzo za wanamichezo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) zitakazofanyika keshokutwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

GSM Media waipa Taswa mil 50/-

TAASISI ya GSM Media ya Dar es Salaam imetoa Sh milioni 50 kwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kwa ajili ya kudhamini tuzo za wanamichezo waliofanya vizuri zaidi katika miaka 10 ya uongozi wa Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

Mwananchi

Tido ajiunga Azam Media

Kampuni ya Azam Media inayomiliki pia Kituo cha Azam TV, itaanzisha stesheni ya redio hadi kufikia Machi mwakani, pia imemteua Tido Mhando kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam Media yamwaga mamilioni Bodi ya Ligi

KAMPUNI ya Azam Media Ltd yenye mkataba wa haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania, imeikabidhi Bodi ya Ligi (TPL Board) sh milioni 462, ambazo ni...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Posta yazing’arisha Taswa FC, Taswa Queens

Benki ya Posta Tanzania (TPB) imeendelea kuisadia timu ya Waandishi wa habari za michezo nchini (Taswa SC) baada ya kuikabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya kutumika katika mashindani na michezo mbali mbali ya kirafiki.
Benki hiyo imekabidhi seti za jezi kwa timu hizo zikiwa na jumla ya thamani ya Sh1,180,000 kwa timu ya mpira wa miguu maarufu kwa jina la Taswa FC na timu ya netiboli ambayo pia inajulikana kwa jina la Taswa Queens.
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Meneja mahusiano...

 

10 years ago

Vijimambo

Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akiongelea Kwetu House







Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akitoa Wito Kwa Watu Wengi Kujitokeza Na Faida Watakazopata Baada Ya Kushiriki Shindano La Kwetu House 2015

 

10 years ago

Vijimambo

TPB SUPPORTS TASWA FC, TASWA QUEENS

Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1,800,000/= kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary. Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1,800,000/= kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary.
TANZANIA Sports Writers Association Sports Club (TASWA SC) received sports gears worth Tzs 1,800,000/= from Tanzania Postal Bank (TPB). Chief Manager, Corporate Affairs of the bank Noves Moses said her bank has decided to support the team as a gesture for active recreation activity besides reporting. Noves said...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani