Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tido ajiunga Azam Media

Kampuni ya Azam Media inayomiliki pia Kituo cha Azam TV, itaanzisha stesheni ya redio hadi kufikia Machi mwakani, pia imemteua Tido Mhando kuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Azam Media yaichangia Taswa

KAMPUNI ya Azam Media imetoa Sh milioni 10 kuchangia sherehe za tuzo za wanamichezo zinazoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) zitakazofanyika keshokutwa kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam Media yamwaga mamilioni Bodi ya Ligi

KAMPUNI ya Azam Media Ltd yenye mkataba wa haki za matangazo ya televisheni ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania, imeikabidhi Bodi ya Ligi (TPL Board) sh milioni 462, ambazo ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akiongelea Kwetu House







Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akitoa Wito Kwa Watu Wengi Kujitokeza Na Faida Watakazopata Baada Ya Kushiriki Shindano La Kwetu House 2015

 

11 years ago

GPL

AZAM MEDIA WAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

Mkurugenzi wa Uhai Production ya Azam TV  Bw. Yahaya Mohamed, akikabidhi vifaa vya michezo  kwa Afisa Masoko wa Global Publishers Bw. Innocent Mafuru (katikati) ambao ndiyo waandaaji wa Tamasha la Usiku wa Matumaini likalofanyika siku ya nane nane(08/08/2014) ,siku ya ijumaa katika uwanja wa Taifa Dar salaam. Vifaa hivi ni kwajili ya wabunge wa upande wa mashabiki wa Yanga. Mkurugenzi wa Uhai Production ya Azam TV  Bw....

 

10 years ago

Michuzi

WANASOKA NYOTA WA ZAMANI WAMTEMBELEA MTANGAZAJI WA AZAM Media CHARLES HILARY KAZINI KWAKE

 Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Shaaban Katwila walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam   Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kulia) akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa Taifa Stars Omari Zimbwe (kushoto) na Mphamed Hussein "Mmachinga" walipomtembelea kazini kwake Tabata Relini jijini Dar es salaam 
 Mtangazaji nguli wa Azam Media Charles Hilary (kati) akiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Become a media expert with certified courses from the Raida School of Journalism and Media Studies.


Contact us today: 0788 499 556, 0719 293 363, 0786 122 471,  www.raida.ac.tz

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani