Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam ni mwendo wa visasi tu

azamNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

BAADA ya kulipa kisasi dhidi ya timu ya JKT Ruvu kwenye mchezo uliopita, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC wameapa kuendeleza wembe huo watakapoivaa Ndanda FC kesho.

Jumamosi iliyopita Azam iliifunga JKT bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliofanyika Uwanja wa Azam Complex na kulipa kisasi cha kufungwa kama hivyo mzunguko wa kwanza.

Azam itaingia uwanjani kesho ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa na Ndanda bao 1-0, kwenye mchezo wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni fainali ya visasi leo

 Ni fainali ya visasi ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sitta na Katiba yake ya visasi

OKTOBA 2, mwaka huu, Bunge Maalum la Katiba, uligeuka ukumbi wa disko kwa muda, ambapo wajumbe waliimba, kucheza kwa kukata mauno, kubebana, kupigana picha za video na mnato, kujitwisha vibakuli...

 

10 years ago

GPL

KUACHANA MBONA KAWAIDA, ACHA VISASI!

ENHEE Shosti, unaendeleaje na mishemishe za kila siku hapo ulipo? Tunakutana tena leo katika mfululizo wa mazungumzo yetu ya kimahusiano kupitia safu yetu hii murua kabisa ya mahaba. Hapo juu kichwa cha habari kinaeleweka, nimeamua kuandika mada hii kutokana na kupata meseji kutoka kwa msomaji ambaye hakutaka jina lake litajwe gazetini, lakini aliomba ushauri afanyeje kutokana na mwenza wake wa zamani, kujenga uadui na visasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ivory Coast, DR Congo visasi leo

 Ivory Coast  itashuka uwanjani leo kwa lengo moja la kulipa kisasi dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na kutaka kufuzu kucheza  fainali za Afcon mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga katika mechi za visasi

Leo ni siku ya ufunguaji wa zawadi maarufu kama ‘Boxing Day’, lakini kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara leo timu za Simba na Yanga zitakuwa kwenye vita kubwa ya visasi pale zitakaposhuka kwenye viwanja viwili tofauti kwa ajili ya michezo ya raundi ya 12 na 13 ya ligi hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ni fainali ya visasi leo

Ni fainali ya visasi ya Kombe la Dunia baina ya Argentina na Ujerumani kwenye Uwanja wa Maracana mjini Rio de Janeiro.

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI SIYO SKENDO, MAKUNDI, VISASI!

Uongozi wa Bongo Muvi, kutoka kulia: Katibu Mkuu, William Mtitu, Mwenyekiti, Steven Mengere a.k.a Steve Nyerere, Katibu Msaidizi Bi. Devotha Mbaga, Mweka hazina Mkuu, Issa Mussa Cloud pamoja na Makamu Mwenyekiti, Mahsein Awadh maarufu kama Dk Cheni katika picha ya pamoja baada ya kuchaguliwa. KWENU, Uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity ‘Bongo Muvi’. Kwanza hongereni kwa kuchaguliwa na bila shaka mtaanza kazi...

 

11 years ago

GPL

MAUAJI WATU 16 MARA: MAPENZI, UCHAWI, VISASI VYATAJWA

Stori: Makongoro Oging’ na Igenga Mtatiro
WAKATI hofu kubwa ikiwa imetanda miongoni mwa wananchi wa Wilaya za Butiama na Tarime mkoani Mara kutokana na mauaji ya watu zaidi ya 16, imebainika kwamba sababu za vifo hivyo zimejikita katika wivu wa kimapenzi, vitendo vya ulipizaji visasa na imani za kishirikina. Marehemu Juma Marwa Nyaitara. Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo mbalimbali mkoani humo, mauaji hayo, hasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani