Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AZAM TV YAJA NA KAMPENI YA RELOADED NA VIFURUSHI VITATU VYA MWEZI

Kuanzia leo tarehe 1 March 2015 azamtv inakuletea punguzo la bei ya kisimbuzi, sasa utapata azamtv kwa shilingi 99,000!!! Hii ikijumuisha decoder,dishi na vifaa vyote pamoja na makato yote ya VAT!!
Azamtv inakupa uhuru wa kuchagua kulingana na kipato chako kwa kuzingatia hali tofauti za kiuchumi kwa Watanzania ili kuifanya iwe burudani kwa wote. Tumewaletea vifurushi vipya vitatu vya bei vya malipo ya mwezi navyo ni:
AZAM PURE...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

AIRTEL YAZINDUA WHATSAPP, FACEBOOK NA TWITTER BURE KUPITIA VIFURUSHI VYA YATOSHA

kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayoongoza kwa kutoa huduma bora imezindua huduma ya kibunifu itakayowawezesha wateja wake kupata na kuunganishwa kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook, Whatsapp na twitter BURE kupitia huduma ya Airtel yatosha. Akiongelea kuhusu huduma hiyo Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Airtel Bi Beatrice Singano Mallya alisema” sasa ni bure kabisa kwa wateja wetu wote wa Airtel kuunganishwa na...

 

10 years ago

Bongo5

Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandao ya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiaji wa simu anapojiunga na vifurushi vya muda wa maongezi, sms na data kwa pamoja. Baadhi […]

 

5 years ago

Michuzi

WANAFUNZI 1800 WA SHULE YA ST.JUDE ARUSHA KUNUFAIKA NA VIFURUSHI VYA MASOMO WAKIWA MAJUMBANI



Vero Ignatus,Arusha
 Shule ya St Jude imebidi itumie ubunifu ili kuwasaidia wanafunzi kuendelea kujifunza na kuwa na motisha ya kusoma baada ya waalimu kutengeneza vifurushi vya kujisomea,ambavyo vina vitini vya kila somo, karatasi za kazi, na mitihani ya mock ya kufanyiwa nyumbani kwa wanafunzi wa madaraja yote

Shule hiyo yenye wanafunzi wanaotoka katika Kaya masikini ya St Jude iliyopo mkoani Arusha, imezindua mpango mpya wa kuendelea kuwafundisha wanafunzi wao bure wakiwa majumbani kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Airtel yazindua huduma ya kipekee ya vifurushi vya data maalum kwa simu na mahitaji ya kila mteja

Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel jana ilizindua huduma kabambe ya Intaneti itakayojulikana kama SWITCH ON. Huduma hiyo ni maalum kwa watumiaji wa huduma za Interneti Tanzania ambapo sasa wateja wa Airtel wataweza kufuruhai huduma ya kipekee ya vifurushi vya data/intaneti maalum kwa simu na mahitaji ya kila mteja.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel  Tanzania Bw, Levi Nyakundi alisema “ ulimwengu wa leo matumizi ya huduma za intaneti/data au mtandao...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAJA NA KAMPENI YA"LIFE IS BETTER"

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(watatu toka kushoto)akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi wa taasisi zilizowezeshwa na Kampuni hiyo kufanya wanajamii maisha yao kuwa murua.Wakati wa hafla ya Uzinduzi wa kampeni mpya ya kampeni hiyo ya“Life is better” inayolenga kuendelea kunufaisha jamii kwa kutoa intanet yenye kasi zaidi kwa kutuma na kupokea pesa kwa M PESA kwa haraka na salama zaidi,Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto katika picha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampeni ‘zomea viongozi wazembe’ yaja

WATANZANIA wametakiwa kuanzisha kampeni ya nguvu ya umma kuwazomea viongozi wanaotumia madaraka yao kuuza rasilimali za nchi kwa wageni, huku wazawa na taifa likiendelea kuishi kwenye giza la umaskini.  Wito huo umetolewa na...

 

9 years ago

Global Publishers

Vodacom Tanzania yaja na kampeni ya ‘life is better’

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(watatu toka kushoto)akiwa ameshikana mikono na baadhi ya viongozi wa taasisi zilizowezeshwa na Kampuni hiyo kufanya wanajamii maisha yao kuwa murua.Wakati wa hafla ya Uzinduzi wa kampeni mpya ya kampeni hiyo ya“Life is better” inayolenga kuendelea kunufaisha jamii kwa kutoa intanet yenye kasi zaidi kwa kutuma na kupokea pesa kwa M PESA kwa haraka na salama zaidi,Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto katika picha...

 

9 years ago

GPL

DON BOSCO YAJA NA KAMPENI YA BINTI THAMANI

Kutoka kulia ni, Emanuel Mathias 'MC Pilipili', Mkurugenzi wa Vijana Don Bosco, Padri Dunstan Haule na Mkurugenzi wa Trumark ambao ndio waratibu wa kampeni hiyo, Agnes Mgongo. Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Elias Barnaba (kushoto) akizungumzia namna alivyojipanga kutoa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani