Azam ya TZ yaondolewa michuano ya Afrika
Wawakilishi kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika, Azam FC waondolewa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLAZAM YAONDOLEWA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
TIMU ya Azam FC imeondolewa katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ferroviario de Beira ya Msumbuji. Kwa matokeo hayo, Azam imeondolewa kwa mabao 2-1 baada ya mechi ya kwanza iliyopigwa Chamazi, Dar kushinda bao 1-0 .
10 years ago
Michuzi16 Feb
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Azam, Yanga, kuelekea michuano ya CAF
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania ,limezitakia kheri na ushindi timu za Azam na Young Africans katika michezo yao ya marudiano.
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika
Ratiba ya michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika imetolewa leo na CAF.
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Tutafuzu michuano ya Mataifa ya Afrika.
TFF imesema limeweka malengo ,timu ya taifa ya vijana ya U17 inafuzu kucheza fainali za Mataifa Afrika 2017 Madagscar
10 years ago
BBCSwahili16 Nov
Matokeo ya michuano ya dimba la Afrika
Nigeria wameicharaza Congo Brazaville 2-0 siku ya jumamosi ili kuimarisha matumaini yake ya kufuzu katika dimba la Afrika
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Tanzania na michuano kanda ya 5 Afrika
Tanzania yachagua timu kuzikabili nchi nyingine za Afrika katika wavu.
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Michuano ya gofu Afrika kufanyika Zambia
Michuano ya Afrika golf kwa vijana chini ya miaka 18 itafanyika May nchini Zambia na Tanzania inakusudia kushiriki.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Michuano Afrika:Wasiomudu kupewa tiketi
Rais wa Guinea ya Ikweta ameahidi kununua tiketi 40,000 kwa ajili ya wasio na uwezo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania