Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Michuano ya gofu Afrika kufanyika Zambia

Michuano ya Afrika golf kwa vijana chini ya miaka 18 itafanyika May nchini Zambia na Tanzania inakusudia kushiriki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya gofu Burundi yaahirishwa

Wachezaji wa gofu wa kulipwa -Tanzania wamejitoa kushiriki michuano hiyo Burundi kutokana na maandamano ya kisiasa yanayoendelea.

 

9 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Bia ya Serengeti kudhamini michuano ya Gofu ya Waitara!

 

CAMPIX PRODUCTION

CAMPIX PRODUCTION

Meneja chapa (vileo kali) wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam kuhusiana na mashindano ya siku moja ya gofu ya kumuenzi Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara yatakayofanyika katika klabu ya Gofu ya Lugalo jumamosi. Kushoto ni katibu wa klabu ya Gofu ya Lugalo Kanali Mstaafu John Nyalusi. Kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake kikali cha Johnnie Walker...

 

10 years ago

Dewji Blog

Benki ya Exim yadhamini michuano ya Gofu kwa maafisa watendaji wakuu kutoka makampuni mbalimbali viwanja vya Lugalo

LUGALO PIX2

Meneja Msaidizi wa Uwekezaji na Biashara Kubwa wa Benki ya Exim, Thobius Samwel (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za kibenki zitolewazo na benki yake  kwa washiriki wa shindano la Gofu liloandaliwa kwa watendaji wakuu wa makampuni mbali mbali jijini Dar es Salaam lililofanyika katika viwanja vya Gofu vya Lugalo, mwishoni mwa wiki jijini Dar Es Salaam. Kushoto ni Afisa Mauzo, wa benki hiyo Bw. Ishaq Samailla. Benki ya Exim ilikuwa miongoni mwa wadhamini.

LUGALO PIX3

LUGALO PIX4

Meneja Msaidizi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA GOFU YA TANAPA LUGALO OPEN KUFANYIKA MACHI 14 NA 15 JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Luteni Selemani Semunyu

Mwenyekiti wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Brigedia Jenerali Mstaafu Michael Luwongo ametangaza mashindano ya Tanapa Lugalo Open yanatarajiwa kufanyika Machi 14 na 15 Mwaka huu katika Viwanja vya Lugalo Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Mwandishi wa hbari hizi Mwenyekiti huyo alisema masindano hayo yalikuwa yafanyike February 29 na Machi Mosi lakini kutokana na baadhi ya Maandalizi kutokamilika imelazimu sasa kusogeza mbele.

“ Tumesogeza mbele ili kutoa fursa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya gofu NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 kufanyika kesho viwanja vya TPDF

4Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Mwanaidi Shemweta akikabidhi zawadi kwa Japhet Masai Kapteni wa mchezo wa Gofu katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo tayari kwa mashindano ya NIC Corporate Lugalo Challenge 2015 yanayofanyika kesho February 28 kuanzaia saa 7:00 asubuhi kwenye viwanja hivyo yakishirikisha wachezaji mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania.Mpaka sasa wachezaji 60 wameshathibitisha kushiriki katika mashindano hayo na wachezaji wengine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania yaelemewa gofu ya vijana Afrika

Tanzania imeshindwa kushiriki michuano ya gofu ya Afrika ya vijana nchini Lusaka, Zambia kutokana na wachezaji wake kuwa shuleni.

 

10 years ago

StarTV

Michuano ya mpira wa pete kufanyika Namibia.

Michuano ya Afrika ya mpira wa pete (netball) inategemewa kufanyika nchini Namibia na Tanzania imesema inajipanga kwa ajili ya kushiriki.

Kwa mujibu wa viongozi wa chama cha netball nchini Tanzania (Chaneta), timu ya taifa itachaguliwa muda wowote kwa ajili ya kuanza maandalizi. Michuano hiyo itafanyika mwezi June.

Ushiriki wa Tanzania na timu nyingine utasaidia kupanda viwango vya dunia.

Katika viwango vilivyotolewa na shirikisho la dunia (IFNA) mwezi April mwaka huu, Tanzania ipo nafasi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Zambia kufanyika leo

Hatimaye wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha Rais wa Michael Sata Oktoba mwaka jana.

 

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO WA RAIS NCHINI ZAMBIA KUFANYIKA LEO

Leo wananchi wa Zambia wanafanya Uchaguzi mdogo kumchagua Rais wa sita tangu wa nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1964. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London Uingereza alikokwenda kwenye matibabu. Rais Sata aliingia madarakani Septemba 2011.
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi 2016 ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu.
Katika uchaguzi huu wagombea kutoka vyama vya siasa vipatavyo kumi na moja (11) wamejitokeza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani