Uchaguzi wa Zambia kufanyika leo
Hatimaye wananchi wa Zambia wanapiga kura kuchagua Rais wa nchi hiyo, kufuatia kifo cha Rais wa Michael Sata Oktoba mwaka jana.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CeOmiTiETBE/VL39Dpff-dI/AAAAAAAG-ZA/0-vtQxIurNM/s72-c/Flag_of_Zambia_(1964-1996).svg.png)
UCHAGUZI MDOGO WA RAIS NCHINI ZAMBIA KUFANYIKA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-CeOmiTiETBE/VL39Dpff-dI/AAAAAAAG-ZA/0-vtQxIurNM/s1600/Flag_of_Zambia_(1964-1996).svg.png)
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi 2016 ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu.
Katika uchaguzi huu wagombea kutoka vyama vya siasa vipatavyo kumi na moja (11) wamejitokeza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j5WbzQSo3h*EzBeuHmYAMkkR3rElm3DErF6e7w1o9TczJppU2T3Ht1MUG5Qc3qekV5VuDP-Qj7CtrbaEK7LaDgYnuqKDTCV9/msumbiji.jpg)
UCHAGUZI MSUMBIJI KUFANYIKA LEO
Mabango ya wagombea mbalimbali wanaowania nafasi za uongozi nchini Msumbiji. Msumbiji leo inafanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa kidemokrasia wa rais, wabunge na wawakilishi wa majimbo tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno. Zaidi ya watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975....
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Uchaguzi Ubunge kufanyika leo Kalenga
Uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Kalenga, Iringa unafanyika leo huku kukiwa na masuala yenye utata ambayo huenda yakasababisha malalamiko baada ya matokeo kutangazwa.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_fYMilMydtA/VL4YkFQSb7I/AAAAAAAG-bQ/LJDpLsBbIM4/s72-c/_80380444_025491424.jpg)
Uchaguzi Mdogo kuchagua rais Nchini Zambia wafanyika leo
![](http://1.bp.blogspot.com/-_fYMilMydtA/VL4YkFQSb7I/AAAAAAAG-bQ/LJDpLsBbIM4/s1600/_80380444_025491424.jpg)
Mshindi katika uchaguzi huu atatawala hadi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/5wu8U2MaqbgbydJFZA-b3B9kPEfCeMJxNLdJk9IgUONtagICWVP0W9RqiL4ZZflTqvgeJszQJDwsmCT66cXtPa-Y3RSLxfYh/150529064936_blatter_ali_640x360_pa_nocredit.jpg)
UCHAGUZI WA RAIS WA FIFA KUFANYIKA LEO USWISI
Rais wa FIFA Sepp Blatter (kushoto) na mpinzani wake Ali bin Hussein wa Jordan. Ali Bin Al Hussein.…
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Michuano ya gofu Afrika kufanyika Zambia
Michuano ya Afrika golf kwa vijana chini ya miaka 18 itafanyika May nchini Zambia na Tanzania inakusudia kushiriki.
9 years ago
Michuzi19 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAELEKEZA UCHAGUZI WA TEFA KUFANYIKA AGOSTI 23 MWAKA HUU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMATI ya uchaguzi DRFA inaelekeza kamati ya uchaguzi ya TEFA kufanya uchaguzi wa viongozi,jumapili tarehe 23/08/2015 katika ukumbi wa JKT kama ilivyopangwa kufanyika hapo awali.Kamati pia inapenda kuutarifu umma kuwa mchakato huu una Baraka zote kutoka TFF,hivyo uingiliaji wowote unakwenda kinyume na ibara ya 6(1)ya kanuni za uchaguzi za TFF 2013 na ibara za 52(6) na 56(6)(a) za katiba ya TFF ambazo zinaelekeza kuwa majukumu ya uchaguzi yapo chini ya...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Uchaguzi wa Zambia:Mambo ya kufahamu
Uchaguzi wa Rais unafanyika hii leo nchini Zambia ili kupata Mrithi wa marehemu Michael Sata
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Matokeo ya uchaguzi yasitishwa Zambia
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini Zambia, Bi Irene Mambilima jana alisitisha zoezi la kutoa matokeo ya uchaguzi mkuu .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania