Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yadhamini maonesho makubwa ya Keki Dar

Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan wazamini wa maonesho hayo. Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan wadhamini wa maonesho hayo.Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya keki yanayotarajia kufanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, Marion Elias. Mratibu wa Matangazo na Uhusiano wa Umma wa kampuni ya SSB, Mohammed Ramadhan (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho makubwa ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Washindi wa Maonesho ya Keki Wapatikana Dar

Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.Majaji wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' watipita kukagua, kupata maelezo ya watengenezaji wa keki hizo kabla ya kuwapata washindi.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Baadhi ya wananchi waliotembelea Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' wakipita kuangalia keki.Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maonesho hayo.Marion Elias Mkurugenzi wa Kampuni ya Insights Productions Limited, ambaye pia Mratibu wa Maonesho ya 'Azam World of Cakes Exhibition' akizungumza...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini maonesho ya kuinua tasnia ya filamu

4

Mkurugenzi wa kanda ya Kaskazini wa Tigo, Bw. David Charles akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza udhamini wa kampuni ya Tigo kwa maonesho ya filamu za Kiafrika Arusha (AAFF) yatakayofanyika Septemba  20 mpaka 27 jijini Arusha. Kushoto kwake Meneja wa maonesho ya AAFF, Bi. Mary Birdi.

Tigo Tanzania leo imetangaza udhamini wake kwa maonesho ya filamu barani Afrika yatakayofanyika mkoani Arusha kuanzia Jumamosi wiki hii. Maonesho hayo ya wiki moja yanayojulikana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini maonesho ya Tehema kwa vijana, Viwanja vya Posta

Moja

Ofisa kutoka mradi wa Data Huru ulio chini ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (Costech) Daudi Fufuji akitoa maelekezo kuhusiana na namna ambavyo mradi huo unafanya kazi, maadhimisho hayo yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.

Mbili

Wadau kutoka Kituo cha Utamaduni cha Ujerumani, Goethe Institute wakiwa kwenye maonesho hayo.

Tatu

Baadhi ya mabanda ambayo wadau mbalimbali wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) walihudhuria.

Nne

Wanafunzi wa Chuo cha A3 Institute wakionesha...

 

5 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (44th DITF) KUANZA JULAI 1 – 13, 2020 KATIKA UWANJA WA MAONESHO WA MWL. J.K. NYERERE

Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. 
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wakazi Dar wakusanywa kujifunza batiki, keki

Wananchi jijini Dar es Salaam wanaotaka kujifunza utengenezaji bidhaa kama nguo za batiki, keki, sabuni za kila aina, watakuwa na fursa ya kujifunza kazi hizo kuanzia Juni 24 katika mafunzo yaliyofadhiliwa na Benki ya Biashara ya Akiba (ACB).

 

10 years ago

Michuzi

TBL yadhamini Bonanza la Michezo jijini Dar


 Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kushoto) akikabidhi sehemu ya jezi kwa Bw. Hamis Mwango, zilizotumiwa na timu mbali mbali zilizoshiriki kwenye Bonanza la Michezo lililodhaminiwa na TBL, ikiwa ni sehemu ya kuendeleza michezo nchini.  Meneja Matukio wa TBL mkoa wa Dar es salaam, Zozimick Kimati (kati) akizungumza jambo na uongozi wa Timu ya Mshikamano Veterans kabla ya kuingia uwanjani kukipiga na timu ya Uhuru veterans. Kikosi cha Makabe Veterans wakiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yadhamini mashindano ya mbio za Mbuzi jijini Dar

4

Vijana wakikimbiza Mbuzi ili kupata mshindi wa mbio hizo wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lillilofanyika Dar es Salaam.

3

Vijana wakiingiza Mbuzi katika eneo la kukimbilia wakati wa tamasha la mbio za Mbuzi (Goat Race) lilofanyika jijini Dar es Salaam.

6

Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo John Wanyancha (kushoto) akikabidhi hundi kwa mmiliki wa Mbuzi aliyeshinda, Mark Golding kutoka kampuni ya PM Group.

1

Meneja Mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya...

 

5 years ago

Michuzi

MITANDAO YA KIJAMII YAZIDI KUONGEZA WIGO WA AJIRA KWA VIJANA,'APP' YA BIDHAA YA KEKI YAZINDULIWA LEO JIJINI DAR

Mitandao ya kijamii   imeongeza wigo katika ajira kwa vijana kufanya ubunifu mbalimbali ikiwemo uuzaji wa bidhaa kwa kutumia mitandao hiyo.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Melisa Lilian Ringo wakati akizindua App kwa ajili ya Keki iliyofanyika leo, jijini Dar es Salaam.

Ringo amesema kuwa watu wanaohitaji Keki watakwenda kwenye mtandao na kufungua 'Melisa Cake'  na kuchagua aina mbalimbali za Keki.Amesema mteja akiingia katika App hiyo atachagua Keki aitakayo baada ya hapo ...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YADHAMINI TAMASHA LA MICHEZO NA AFYA JIJINI DAR

Mratibu wa tamasha la michezo na Afya ,Dimo Dembwe (katikati) akiwa ameshikana mikono na waratibu wenzake kama ishara ya umoja wa kufanikisha tamasha hilo. Wakati walipokuwa wakiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa mikutano wa MAELEZO jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Meneja Utawala wa benki ya CRDB, Leevan Maro,Mwandaaji msaidizi wa Tamasha hilo Fakii Majipino,Rais wa TAFF Simon Mwakifuamba na Mratibu wa Tamasha hilo Josephine Kayombo.Tamasha hilo litafanyika jumapili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani