Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yaipumulia Yanga

TIMU ya soka ya Azam FC imezidi kujiimarisha zaidi katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Majimaji ya Songea mabao 2-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Majimaji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Azam yaipumulia Yanga kileleni

Azam FC imefanikiwa kupunguza pengo la pointi dhidi ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, baada ya jana kuifunga Kagera Sugar kwa mabao 2-0.

 

9 years ago

Habarileo

Mtibwa yabanwa, Azam yaipumulia Yanga

WAKATI Mtibwa Sugar jana ikishindwa kung’ara Uwanja wa Karume, Dar es Salaam, Azam imeendelea kukabana na Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

11 years ago

Mwananchi

Liverpool yaipumulia Chelsea

Liverpool imepanda mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Southampton mabao 3-0 juzi kwenye Uwanja wa St Marys ukiwa ni ushindi wa kwanza wa Liverpool kwenye uwanja huo tangu 2003.

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Azam

MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Azam na Yanga zinamatumaini

Baada ya kuanza vema mechi zao za michuano ya vilabu barani Afrika, makocha wa wawakilishi wa Tanzania, Azam FC na Yanga wamesema wana matumaini ya kusonga mbele.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam patachimbika

YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Yanga, Azam zapaniana

MABINGWA wa Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Azam FC wamejichimbia kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii itakayofanyika Agosti 22 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani