Azam yaleta jeuri Zanzibar
Azam jeuri bwana, ndivyo unavyoweza kusema baada ya kuondoka na ndege kwenda Pemba na ndege hiyo kuwasubiri kurudi Unguja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo28 Nov
Simba yaiendea Azam Zanzibar
TIMU ya Simba imesema kuwa inatarajia kuweka kambi Zanzibar kuanzia wiki ijayo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya vinara wa Ligi Azam FC utakaochezwa Desemba 12 mwaka huu.
10 years ago
Habarileo04 Aug
Azam kuongeza makali Zanzibar
MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC itaondoka Jumapili kwenda kisiwani Zanzibar kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotazamia kuanza Septemba 12.
9 years ago
Habarileo19 Aug
Azam yakiri kupata upinzani Zanzibar
NAHODHA wa timu ya Azam FC, Himid Mau amekiri kupata upinzani mkali katika mechi yao ya kirafiki na ya kumalizia ratiba ya mazoezi visiwani Zanzibar na JKU iliyochezwa juzi Amaan mjini hapa.
10 years ago
TheCitizen31 Dec
Azam aim to win title in Zanzibar
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …
Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]
The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Jeuri ya Sitta
WAKATI Bunge Maalum la Katiba likianza mjadala wa jumla kwa wenyeviti wa Kamati kuwasilisha taarifa za wajumbe leo, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta ametamba kuwa, Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Jeuri ya Ukawa
*Waainisha watakapopata fedha za kutoa elimu bure, kuziba pengo la bajeti watakapopunguza kodi ya mshahara kutoka asilimia 18 hadi tisa.
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
BAADA ya ahadi ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ya kutoa elimu bure kwenye ngazi zote na kupunguza kodi ya mishahara kutoka asilimia 18 hadi tisa, kubezwa kwamba haitekelezeki, umoja huo umeeleza ilipopata jeuri ya ahadi hiyo baada ya kuainisha vyanzo vya mapato watakavyotumia.
Akizungumza na...
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Jeuri ya fedha Yanga
MWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.
Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...