Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeuri ya Ukawa

MTZ Alhamisi new july.indd*Waainisha watakapopata fedha za kutoa elimu bure, kuziba pengo la bajeti watakapopunguza kodi ya mshahara kutoka asilimia 18 hadi tisa.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

BAADA ya ahadi ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ya kutoa elimu bure kwenye ngazi zote na kupunguza kodi ya mishahara kutoka asilimia 18 hadi tisa, kubezwa kwamba haitekelezeki, umoja huo umeeleza ilipopata jeuri ya ahadi hiyo baada ya kuainisha vyanzo vya mapato watakavyotumia.

Akizungumza na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Lowassa anavyowapa Ukawa jeuri kuingia Ikulu

Sasa ni rasmi, waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ndiye mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema. Mwanasiasa huyo mkongwe na ambaye amekuwa gumzo ndani ya CCM, alikitosa chama hicho na kujiunga na upinzani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jeuri ya Sitta

WAKATI Bunge Maalum la Katiba likianza mjadala wa jumla kwa wenyeviti wa Kamati kuwasilisha taarifa za wajumbe leo, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta ametamba kuwa, Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Jeuri ya fedha Yanga

yangMWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM

WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.

Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawekezaji jeuri wasivumiliwe

KWA muda mrefu hapa Zanzibar zimesikika taarifa za kusikitisha za wanawake kuonewa, kubaguliwa na kubakwa, lakini ni wachache wanaofanya hivyo huwajibishwa kisheria. Sababu tunazoelezwa za kushindwa kuwatia hatiani wahalifu hao...

 

11 years ago

GPL

JEURI NYINGINE YA DIDA!

Stori: Shakoor Jongo Zimemtembelea! Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo. Hadija Shaibu ‘Dida’ akiikagua gari yake. Dida amefanya kufuru hiyo ikiwa imepita miezi kadhaa tangu atangaze kuwa ana nyumba mbili maeneo ya Goba na Kigamboni pamoja na kuyaanika magari...

 

11 years ago

GPL

KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI

Stori:Gladness Mallya na Shakoor Jongo MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba. Muonekano wa ndani wa gari aina ya Toyota Bravis anayomiliki Kajala. Awali kwenye ibada ya kumuombea marehemu, Kajala alifika kwenye kanisa moja lililopo Kimara Temboni akiwa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndende Aonyesha Jeuri ya Mkwanja

MUIGIZAJI mkongwe wa filamu Bongo Hamisi Ndende amemzawadia mkewe gari kama shukrani kukubali kuolewa naye na kumzalia mtoto wa kike Hamida, msanii huyo alimtuza gari aina ya Paso mkewe Chau Uledi, katika shereha za harusi iliyofanyika hivi karibuni.

“Mara nyingi katika ndoa zawadi hutolewa na kama kamati au wazazi lakini mimi kwa upendo wangu nimeamua kumzawadia mke wangu zawadi ya gari mimi kama mimi kama shukrani kwa mke wangu kudumisha mapenzi yetu,” Ndende.

Ndende anasema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jeuri ya Yanga yaitesa Cecafa

Baada ya kuiondoa Yanga kwenye michuano ya Kombe la Kagame, Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), limesema litaijadili na kisha kuichukulia hatua kali klabu hiyo.

 

10 years ago

GPL

WEMA AZIMA JEURI YA KAJALA

Stori: Erick Evarist
FEDHA haina mwenyewe! Siku chache baada ya kudaiwa kuyumba kiuchumi kiasi cha kuzidiwa jeuri na aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’, Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ameibuka na kujibu mapigo kwa kumwaga ‘mafedha’ ukumbini, Risasi Mchanganyiko linashuka na mzigo kamili. Wema akimwaga manoti kwa mwimbaji wa Skylite Band. Tukio hilo lililowaacha watu midomo wazi lilichukua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani