JEURI NYINGINE YA DIDA!
Stori: Shakoor Jongo Zimemtembelea! Prizenta wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kinachorushwa na Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ ameonesha jeuri nyingine ya fedha baada ya kununua magari mengine mawili kwa mpigo. Hadija Shaibu ‘Dida’ akiikagua gari yake. Dida amefanya kufuru hiyo ikiwa imepita miezi kadhaa tangu atangaze kuwa ana nyumba mbili maeneo ya Goba na Kigamboni pamoja na kuyaanika magari...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJEURI YA FEDHA: APATA AJALI NA LAMBORGHINI YA MIL 675, ASEMA ATANUNUA NYINGINE KESHO YAKE
10 years ago
GPLDIDA AIBU ILIYOJE!
11 years ago
GPLUTAJIRI WA DIDA GUMZO!
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Bahanuzi amwonyesha Dida
Said Bahanuzi
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.
Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.
Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...
10 years ago
GPLDIDA NDOA TENA!
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dida aanza kujihami
11 years ago
GPLNDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA
11 years ago
GPLNDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Dida: Ni uvumilivu unaonisaidia Yanga