Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dida aanza kujihami

Kipa namba moja wa Yanga, Deogratius Mushi ‘Dida’, katika kile kinachoonekana kuhofia kukosa namba katika kikosi cha timu hiyo, ameanza mazoezi binafsi kwa ajili ya kulinda kiwango chake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

KwanzaJamii

SERIKALI KUFUNGA MIPAKA ITAKAPOBIDI KUJIHAMI NA EBOLA

Serikali imesema haipo tayari kufunga mipaka yake kwa sasa kuzuia wananchi wa nchi zinazo kabiliwa na ugonjwa wa ebola kuingia nchini kama Kenya ilivyo fanya mpaka itakapopata ushauri wa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO). Kauli hiyo ilitolewa  jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashidi, alipozungumza na   NIPASHE.Kwa sasa ugonjwa wa ebola umezitikisa nchi kadhaa za Afrika Magharibi huku ikiripotiwa kuwa takribani watu zaidi ya 400 nchini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wito kwa wakazi kujihami dhidi ya Boko:H

Emir wa Kaskazini mwa Nigeria,Muhammad Sanusi, ametoa wito kwa wakazi kujihami dhidi ya kundi la wanamgambo wa kiisilamu wa Boko Haram

 

10 years ago

Dewji Blog

WHO yatoa vifaa vya dola za Marekani 46,000 kwa serikali ya Tanzania kujihami na Ebola

1

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (HWO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando, moja ya kompyuta na baadhi ya vifaa tiba vyenye thamani ya dola za Marekani 46,000 vilivyotolewa na WHO kwa Serikali ya Tanzania Dar es Salaam jana,  kwa ajili ya maandalizi ya udhibiti wa magonjwa ya kuambukiza na ebola.

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini, Rutaro Chatora (kulia), na Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

11 years ago

Bongo5

Kanye na Kim watumia tshs mil 835 kupata mtoto anayefanana na North West ili kujihami na mapaparazi

Kanye and Kim West hawako tayari kuona maisha ya mtoto wao, North yanaingia hatarani. Kuhakikisha kuwa mtoto wao hawehuki kwasababu ya usumbufu wa mapaparazi, Kanye na Kim wametumia $500,000 (zaidi ya shilingi milioni 835) kupata mtoto anayefanana na wa kwao. North West Kwa mujibu wa gazeti la The Mirror, mastaa hao wametumia kiasi hicho kikubwa […]

 

11 years ago

GPL

NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah SIKU chache baada ya kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’, aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne ameibuka na kutoa sababu kuu tatu za kutengena kwao, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Khadija Shaibu ‘Dida’ na Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne wakipozi. Akizungumza na waandishi wetu katika nyumba aliyohamia kwa sasa, Kijitonyama, Dar,...

 

10 years ago

GPL

DIDA NDOA TENA!

Stori: Waandishi wetu
SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa, mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’, ameonesha matumaini mapya ya kuolewa baada ya kumwanika mchumba’ke mpya. Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal. Dalili za matumaini hayo mapya zilionekana usiku wa kuamkia Alhamisi...

 

10 years ago

GPL

DIDA AIBU ILIYOJE!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Weka mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC) kisha kuumbuliwa na kigauni cha kihasarahasara alichokuwa ametupia. Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’. Tukio...

 

10 years ago

Mtanzania

Bahanuzi amwonyesha Dida

Said Bahanuzi

Said Bahanuzi

Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.

Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.

Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA

Stori: Shakoor Jongo KIMENUKA! Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne inadaiwa kuvunjika, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuiripoti. Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani