Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA

Stori: Shakoor Jongo KIMENUKA! Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne inadaiwa kuvunjika, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuiripoti. Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NDOA YA SHAMSA YAVUNJIKA!

Imelda Mtema
Mshtuko! Weka pembeni mahaba niue waliyokuwa wakioneshana, staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka rasmi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ya kimila aliyofunga na mwanaume wake wa siku nyingi, Dickson ‘Dick’ akikiri kuwa amepoteza muda mwingi kwa mtu ambaye hakuwa na mapenzi ya dhati kwake.
Shamsa Ford akicheka baada ya kuulizwa swali alipotembelea Global TV… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika

Ndoa ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger na mke wake, Annie iliyodumu kwa miaka mitano imevunjika baada ya miezi kadhaa ya uvumi.

 

10 years ago

GPL

DIDA NDOA TENA!

Stori: Waandishi wetu
SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa, mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’, ameonesha matumaini mapya ya kuolewa baada ya kumwanika mchumba’ke mpya. Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal. Dalili za matumaini hayo mapya zilionekana usiku wa kuamkia Alhamisi...

 

11 years ago

GPL

NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah SIKU chache baada ya kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’, aliyekuwa mumewe, Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne ameibuka na kutoa sababu kuu tatu za kutengena kwao, Risasi Mchanganyiko linakupa zaidi. Khadija Shaibu ‘Dida’ na Mtangazaji wa TV1, Ezden Jumanne wakipozi. Akizungumza na waandishi wetu katika nyumba aliyohamia kwa sasa, Kijitonyama, Dar,...

 

9 years ago

Global Publishers

Baada ya kuachika mara 3 Dida ndoa ya 4!

Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ anatarajiwa kufunga pingu za maisha siku chache zijazo na mwanaume ambaye mwenyewe hakupenda kumtaja jina, hii ikiwa ni mara yake ya nne kufunga ndoa.

Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, Dida anayetangaza Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, alisema kwa mwanamke kuolewa ni bahati, hivyo anajihesabu kuwa miongoni mwa wanawake waliojaliwa kuwa na kismati.

“Unajua...

 

11 years ago

GPL

AKU, SIJAVUNJA NDOA YA DIDA –JOKATE

Stori: Hamida Hassan Mtangazaji wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’ amefunguka kuwa hahusiki na kuvunjika kwa ndoa ya Khadija Shaibu ‘Dida’ kwani ni mshikaji wake na wanaheshimiana. Mtangazaji wa Kipindi cha The One Show, Jokate Mwegelo ‘Jojo’. Akijibu tuhuma kuwa, yeye anahusika na kuparaganyika kwa ndoa hiyo kufuatia ‘ku-fall in love’ kwa mume wa Dida, Edzen...

 

9 years ago

GPL

EZDEN JUMANNE: NDOA YANGU NA DIDA IMENIFUNZA MENGI

Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne kabla ya kufanya mahojiano Global TV akitabasamu. ...Akijibu maswali ya wafanyakazi (hawapo pichani) wa Global Publishers kupitia Global TV Online. ...Akiwa amepozi baada ya kumaliza mahojiano.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo Yemen yavunjika

Mazungumzo ya kutafuta amani na kusitisha vita vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Yemen yamevunjika.

 

10 years ago

Habarileo

Mazungumzo magari ya Tanzania, Kenya yavunjika

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu.MAZUNGUMZO ya Watendaji na Mawaziri wa Tanzania na Kenya kuhusu kuzuiwa kwa magari ya kitalii ya Tanzania kuingia katika Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, yamevunjika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani