EZDEN JUMANNE: NDOA YANGU NA DIDA IMENIFUNZA MENGI

Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne kabla ya kufanya mahojiano Global TV akitabasamu. ...Akijibu maswali ya wafanyakazi (hawapo pichani) wa Global Publishers kupitia Global TV Online. ...Akiwa amepozi baada ya kumaliza mahojiano.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI
10 years ago
GPL
DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!
11 years ago
GPL
DIDA, EZDEN WAKUTANA COCO BEACH WAKAUSHIANA
11 years ago
GPL
EZDEN AFUNGUKA KUACHANA NA KHADIJA SHAIBU 'DIDA'
10 years ago
Vijimambo
MKE WA BILLIONEA MENGI K-LYIN AAMUA KUBADILI JINA MARA BAADA YA KUFUNGA NDOA NA MH. MENGI



11 years ago
GPL
NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA
11 years ago
GPL
NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
11 years ago
GPL
DIDA NDOA TENA!
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Baada ya kuachika mara 3 Dida ndoa ya 4!
Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ anatarajiwa kufunga pingu za maisha siku chache zijazo na mwanaume ambaye mwenyewe hakupenda kumtaja jina, hii ikiwa ni mara yake ya nne kufunga ndoa.
Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, Dida anayetangaza Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, alisema kwa mwanamke kuolewa ni bahati, hivyo anajihesabu kuwa miongoni mwa wanawake waliojaliwa kuwa na kismati.
“Unajua...