Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!

Na Imelda Mtema
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo. Mtangazaji kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’. Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden, lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI

Stori: Gladness Mallya/Risasi Mchanganyiko
WATANGAZAJI ambao walikuwa wanandoa kabla ya kuachana, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne wamemaliza tofauti zao na sasa wamekuwa marafiki sana kiasi cha kuzua minong’ono kwamba wamerudiana. Watangazaji, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne wakati wakiwa wanandoa. Baada ya minong’ono hiyo kuzidi, Risasi Vibes ilimtafuta Dida ili kueleza...

 

10 years ago

GPL

DIDA, EZDEN WAKUTANA COCO BEACH WAKAUSHIANA

Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WATANGAZAJI wawili waliokuwa wanandoa kabla ya kutengana hivi karibuni, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne, mwishoni mwa wiki walikaushiana kama watu wasiofahamiana baada ya kukutana katika hafla iliyofanyika katika ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam. Khadija Shaibu ‘Dida’ akiwa ndani ya ofisi za Times FM. Wawili hao walikutana wakati wa uzinduzi wa...

 

9 years ago

GPL

EZDEN JUMANNE: NDOA YANGU NA DIDA IMENIFUNZA MENGI

Mtangazaji wa Runinga ya TV1, Ezden Jumanne kabla ya kufanya mahojiano Global TV akitabasamu. ...Akijibu maswali ya wafanyakazi (hawapo pichani) wa Global Publishers kupitia Global TV Online. ...Akiwa amepozi baada ya kumaliza mahojiano.…

 

11 years ago

GPL

EZDEN AFUNGUKA KUACHANA NA KHADIJA SHAIBU 'DIDA'

Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe, Ezden Jumanne siku ya harusi yao. Baada ya ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu 'Dida' kudaiwa kuvunjika, mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne amefunguka mengi kuhusu sababu za kuvunjika ndoa hiyo. Ili kujua ni nini amezungumza, ungana na Global TV Online na soma magazeti ya GPL Jumatano ya Julai 2, 2014 kupata...

 

10 years ago

Mtanzania

AG MASAJU: Nitaanza na mikataba ya gesi

DSC_2303NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju, amesema anataka muda zaidi ili aweze kuzungumzia suala la Kampuni ya Kufua Umeme Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na mikataba ya gesi ambayo imekuwa ikitakiwa kuwekwa wazi.
Masaju aliyasema hayo jana, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuchukua nafasi ya Jaji Frederick Werema, aliyejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye...

 

9 years ago

Mwananchi

Nape: Nitaanza na sheria, nidhamu michezoni

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye ameahidi kushughulikia sheria mbalimbali zinazosimamia sekta hiyo ili kuongeza nidhamu michezoni.

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond: Nitaanza kupiga ‘live’ Krismasi hii

Muziki wa Bongo Fleva unazidi kubadilika kila kukicha, zile zama za kufanya muziki wa ‘play back’ unaanza kupotea taratibu na sasa imefika wakati wa kupiga laivu ambapo kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atalifanya hilo Sikukuu ya Krismasi mwaka huu ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.

 

9 years ago

Bongo5

Mashabiki wajitolea kumchangia figo Lamar Odom

Lamar Odom ana mashabiki wa ukweli ambao miongoni mwao wako tayari kuchangia figo zao ili kumwondolea zake zilizoharibika. Watu kadhaa wamewasiliana na mchezaji huyo na mke wake Khloé Kardashian kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kusaidia chochote. Wakati huo mmiliki wa danguro ambalo Odom alikutwa akiwa hajitambui kwa kuzidisha madawa ya kulevya anataka alipwe gharama ambazo […]

 

9 years ago

Bongo5

Rob Kardashian ajitolea kumchangia figo Lamar Odom

Rob Kardashian, mdogo wao Kim na Khloe Kardashian amejitolea kumchangia figo Lamar Odom. Kwa mujibu wa ripoti, Rob yupo tayari kumsaidia shemeji yake kwa lolote awezalo. Afya ya mchezaji huyo wa zamani wa NBA ambaye ni mume Khloe bado haijakaa sawa baada ya kukutwa akiwa hajitambui kwenye danguro, mapema mwezi huu. Figo za Lamar ziliharibika […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani