Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape: Nitaanza na sheria, nidhamu michezoni

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye ameahidi kushughulikia sheria mbalimbali zinazosimamia sekta hiyo ili kuongeza nidhamu michezoni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AMEMUAGIZA MKURUGENZI WA ‘ZAWA’ KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA NA KUWACHUKULIA HATUA ZA NIDHAMU KWA MUJIBU WA SHERIA WATENDAJI WA MAMLAKA HIYO.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii.Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake.
 Baadhi ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakitafakari na kufurahia maamuzi yaliyochukuliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar...

 

9 years ago

MillardAyo

Sentensi nne za Nape Nnauye zina majibu ya ishu ya Sheria ya mavazi iliyosambaa mitandaoni.. (+Audio)

Kulikuwa na taarifa ambayo imesambaa mitandaoni kuhusu ishu ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Moses Nnauye kutangaza kuhusu kupigwa marufuku baadhi ya aina ya mavazi kwa wanawake na wanaume… taarifa hiyo ikaenda mbali na kutaja faini ya 100,000/= kwa atakayekiuka. Taarifa kutoka kwenye habari ya Clouds TV imempata Waziri Nape Nnauye >>> […]

The post Sentensi nne za Nape Nnauye zina majibu ya ishu ya Sheria ya mavazi iliyosambaa mitandaoni.. (+Audio) appeared first on...

 

10 years ago

Mtanzania

AG MASAJU: Nitaanza na mikataba ya gesi

DSC_2303NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju, amesema anataka muda zaidi ili aweze kuzungumzia suala la Kampuni ya Kufua Umeme Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na mikataba ya gesi ambayo imekuwa ikitakiwa kuwekwa wazi.
Masaju aliyasema hayo jana, Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete kuchukua nafasi ya Jaji Frederick Werema, aliyejiuzulu nafasi hiyo kutokana na kashfa ya uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye...

 

10 years ago

GPL

DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!

Na Imelda Mtema
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo. Mtangazaji kutoka Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’. Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden, lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Diamond: Nitaanza kupiga ‘live’ Krismasi hii

Muziki wa Bongo Fleva unazidi kubadilika kila kukicha, zile zama za kufanya muziki wa ‘play back’ unaanza kupotea taratibu na sasa imefika wakati wa kupiga laivu ambapo kwa staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ atalifanya hilo Sikukuu ya Krismasi mwaka huu ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.

 

9 years ago

Bongo5

Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii

Katibu Mwenezi wa Itikadi wa CCM Nape NNauye akifuatilia  mchezo kwa umakini mkubwa

Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.

“Wapo watu wanasema kwamba...

 

11 years ago

Mwananchi

BBC MICHEZONI

Kwenye makala zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando, mwanahabari nguli, hususan katika fani ya utangazaji, anadokeza tu baadhi ya mengi aliyokutana nayo kwenye kipindi chake kirefu kazini. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani