DIDA NDOA TENA!
![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-CPc1ecL0OYcTjYOwBgXhZ69uWaIS42wyohB-VmkWItCadhwZcIhlXqNB70AmkfREk3P83*GVTy0cmPPHnPjpF1/dida.jpg)
Stori: Waandishi wetu SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa, mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’, ameonesha matumaini mapya ya kuolewa baada ya kumwanika mchumba’ke mpya. Mtangazaji wa Kipindi wa Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' akimlisha keki Shemeji yake, Feisal. Dalili za matumaini hayo mapya zilionekana usiku wa kuamkia Alhamisi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVnb3ruxOBgtQ1KYMNM1l9xeWC0P74ILCf2n89IE49bO3vXs8F9Mr8FJ1oI-vM4XfqfLBUjUgXMo57q2If1PlQ73/NDOA.jpg)
NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwV48Ap1slAUjBX2aGdCNAd1MkUc*jlAWism9rc7AoSAseL0Wj6zVQC0Kn1o74nAfaHyb5hBrnmkvLd5jcoFJqu/dida1.jpg?width=650)
NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Baada ya kuachika mara 3 Dida ndoa ya 4!
Na Imelda Mtema
Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar es Salaam, Khadija Shaibu ‘Dida’ anatarajiwa kufunga pingu za maisha siku chache zijazo na mwanaume ambaye mwenyewe hakupenda kumtaja jina, hii ikiwa ni mara yake ya nne kufunga ndoa.
Akizungumza na mwandishi wetu muda mfupi baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, Dida anayetangaza Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani, alisema kwa mwanamke kuolewa ni bahati, hivyo anajihesabu kuwa miongoni mwa wanawake waliojaliwa kuwa na kismati.
“Unajua...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGYaRxEb4wTCU7re1QbtfkP*c11IJpk1ckrjTwhCrHLkJlqRF5VRc5iw*PmXAfTgI3HC6L8glxBa7XHyc31ZaVfB/joketi.jpg?width=650)
AKU, SIJAVUNJA NDOA YA DIDA –JOKATE
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/1eziden-3.jpg)
EZDEN JUMANNE: NDOA YANGU NA DIDA IMENIFUNZA MENGI
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sfy9Pl-AqRk/VLSqTA5LEcI/AAAAAAAAmaI/8jKEaB0iL0M/s72-c/dida%2Bna%2Bmumwewe.jpg)
Dida na Edzen Mambo Safi Tena..Wapenzi Wakigombana Shika Jembe Ukalime
![](http://4.bp.blogspot.com/-sfy9Pl-AqRk/VLSqTA5LEcI/AAAAAAAAmaI/8jKEaB0iL0M/s640/dida%2Bna%2Bmumwewe.jpg)
Hahaha Wambea Sisi tulivyoshupalia ugomvi wa Wapenzi wawili Dida na Edzen Mpaka wakaachana Utafikiri tunahusika kwa Vijembe na Meneno mengi mtandaoni..Unaambiwa Kwa sasa wawili Hao Mambo safi wameshapata ugomvi umeisha na mamba ni kama dhamani ng'are ng'are , Wenyewe wanawasiliana kama kawa na kusaidiana katika vitu vidogo vidogo japo kila mmoja...
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wastara ndoa tena!
Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma.
Na Waandishi Wetu
BAHATI ILIYOJE! Baada ya hivi karibuni mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kutimiza miaka mitatu kaburini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba anatarajia kuolewa tena kwani ameshapata chaguo sahihi.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko nyumbani kwao Tabata Barakuda jijini Dar, Wastara alisema wakati wa msiba wa mumewe aliweka nadhiri kwamba ataolewa baada ya miaka mitatu hivyo kwa sasa yuko tayari kuingia kwenye ndoa...
10 years ago
Bongo Movies22 Feb
Jack: Sitaki Tena Ndoa!
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Jacqueline Pentezel ‘Jack Chuz’ ameamua kufunguka na kuweka wazi kuwa hayuko tayari kuolewa tena hii ni baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, Gadna Dibibi.
Jack alisema, kwa muda aliodumu kwenye ndoa ameshaona raha na karaha yake hivyo suala la kuolewa tena sasa hivi halipo akilini mwake.
“Katika ndoa lazima kuwe na mabaya na mazuri, hata hivyo siwezi kusema ndoa ni chungu hapana, ila mimi kwa sasa hivi nimeona nipumzike kwanza sitaki tena ndoa labda...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKMzIjeSyiVoFU*kIN988QrMmglKKIocC4GiuVc56tqK0OA-2fbBFgkxE7rP2k1FIrMyMHDfcUclBpgjblA4RKS/bella.jpg)
BELA: SITAKI TENA NDOA