NDOA YA SHAMSA YAVUNJIKA!
![](http://api.ning.com:80/files/wjLHhX7eljwhEuUjKvMVAp-iRjHxfFUg3Yu4XyzHnPUlJj9qp-Zp2vqihlA4-VZVI7GnBuYbWy9B1bS5swaiUNFBbzbbkGMv/ndoacopy.jpg?width=650)
Imelda Mtema Mshtuko! Weka pembeni mahaba niue waliyokuwa wakioneshana, staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka rasmi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ya kimila aliyofunga na mwanaume wake wa siku nyingi, Dickson ‘Dick’ akikiri kuwa amepoteza muda mwingi kwa mtu ambaye hakuwa na mapenzi ya dhati kwake. Shamsa Ford akicheka baada ya kuulizwa swali alipotembelea Global TV… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVnb3ruxOBgtQ1KYMNM1l9xeWC0P74ILCf2n89IE49bO3vXs8F9Mr8FJ1oI-vM4XfqfLBUjUgXMo57q2If1PlQ73/NDOA.jpg)
NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Ndoa ya Arsene Wenger yavunjika
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FBfnXTo9RIF9dCL4S-ZlGZhFPO-kSzlqYMr6RTH5eu8oKCQ9LGWu1dyH7wV7E42F6I7p6Xk0M8W3ss6VU9x*4bBkiBHfK-bw/shamsha.jpg?width=650)
SHAMSA APIGWA NDOA YA KIMILA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLacFduaa7AUhDAgYoqKc165wEJayHYN16KweE6hitNcETSdkyFjGeurhEI8sr4FCA1ybQCIyi9CowapetAb-z-MH/Nay.jpg?width=650)
NAY AFUNGUKIA NDOA NA SHAMSA
10 years ago
GPLSHAMSA: NDOA TUNASUBIRI MIPANGO YA MUNGU
10 years ago
GPL12 Mar
10 years ago
Bongo Movies10 Apr
Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa
Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.
Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3VhvVq8FWRvQvkm8yteaMqCsQcVPGBaznIAly7u77pSRlQUnCxyQg7lOCQRkiwgo9xFRUEPDvCBoJ8X5xqp3zTgP/FRONTIJUMAA.gif?width=650)
PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO
9 years ago
BBCSwahili21 Dec
Mazungumzo Yemen yavunjika