Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMSA APIGWA NDOA YA KIMILA

Stori: Gladyness Mallya
WAKATI wadau wa filamu za Kibongo wakisubiri kwa hamu kushuhudia ndoa ya staa wao, Shamsa Ford imebainika kwamba msanii huyo ameshapigwa ndoa ya kimyakimya na mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni mzazi mwenzake, Dickson ‘Dick’. Kwa mujibu wa chanzo makini, wawili hao wanadaiwa kufunga ndoa ya kimila nyumbani kwa mwanaume huyo, Tarime mkoani Mara wiki kadhaa zilizopita. “Shamsa na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NDOA YA SHAMSA YAVUNJIKA!

Imelda Mtema
Mshtuko! Weka pembeni mahaba niue waliyokuwa wakioneshana, staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka rasmi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ya kimila aliyofunga na mwanaume wake wa siku nyingi, Dickson ‘Dick’ akikiri kuwa amepoteza muda mwingi kwa mtu ambaye hakuwa na mapenzi ya dhati kwake.
Shamsa Ford akicheka baada ya kuulizwa swali alipotembelea Global TV… ...

 

10 years ago

GPL

NAY AFUNGUKIA NDOA NA SHAMSA

Na Mussa Mateja
Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, ameeleza kuwa endapo msanii mwenzake ambaye sasa hivi wanapika na kupakua, Shamsa Ford atamuonesha utulivu na uaminifu hataona sababu ya kutomuoa. Msanii wa muziki, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,akipozi kimahaba na Shamsa Ford. Nay aliyasema hayo juzikati alipokuwa akizungumzia mipango yake na Shamsa ambaye amejiweka kwake...

 

10 years ago

GPL

OTILIA APIGWA NDOA USIKU

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan/Risasi Mchanganyiko
MNENGUAJI mkongwe wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’  Otilia Boniface siku ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’ alipigwa pingu ya maisha na mchumba wake wa muda mrefu, Ally Kinde. Mnenguaji mkongwe wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’  Otilia Boniface siku ya harusi yake. Ndoa hiyo iliyofungwa usiku nyumbani kwao Mbezi-Juu...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA: NDOA TUNASUBIRI MIPANGO YA MUNGU

Msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Ni wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana katika safu hii ya maswali kumi na leo tunakuletea msanii wa filamu Bongo, Shamsa Ford ambaye alibanwa kwa maswali na mwandishi wetu Gladness Mallya. Ijumaa: Ni muda mrefu tangu tuliposikia habari za uchumba wako na Dickson, mbona mambo ya ndoa kimya?
Shamsa: Kwa wasiojua ni kwamba, tulishafunga ndoa ya kimila, ile ya kanisani ndiyo bado,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Penzi la Nay na Shamsa la Sababisha Vilio kwa Siwema na Mume wa Shamsa

Penzi la staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford  na Staa wa Bongo Fleva Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe.

Kwa mujibu wa gazeti la Ijumaa, Mara baada ya wawili hao kutangazwa rasmi kuwa sasa ni mahaba niue huku picha za ushahidi zikimwagwa, aliyekuwa mwandani wa Nay, Siwema a.k.a Wemalicious na aliyekuwa mume wa Shamsa, Dickson ‘Dick’ wanadaiwa kujikuta kwenye hali mbaya kiasi cha kumwaga...

 

10 years ago

GPL

PENZI LA NAY, SHAMSA SIWEMA, MUME WA SHAMSA VILIO

Musa mateja na imelda mtema
Penzi matata linalowanyima usingizi baadhi ya watu mjini kwa sasa kati ya mwigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford na mkali wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ limeibua tafrani kubwa huku waliokuwa wapenzi wa mastaa hao wakijikuta wakiangua vilio kweupe, Ijumaa limesheheni. Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego na Shamsa Ford wakipozi kimahaba. TATIZO MAHABA NIUE
...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa

>Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani