DIDA AIBU ILIYOJE!
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPl4daO70*LQsU9Ffp8Q9wnmITR0*twc5VeyTGFh0Hs4Hxh9zhzV10xxQETCmVLOI5*Wj5tq6LDEc8ABpyLTjec/dida.gif?width=650)
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro Weka mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC) kisha kuumbuliwa na kigauni cha kihasarahasara alichokuwa ametupia. Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’. Tukio...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Dec
AIBU ILIYOJE, YANGA, SIMBA KUTEKELEZA VIWANJA
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2549946/highRes/894312/-/maxw/600/-/tem572z/-/simba.jpg)
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na mipango ya awali.
UKOSEFU wa viwanja vya michezo ni tatizo ambalo limekuwa likiuandama zaidi mchezo wa soka unaopendwa na wengi.
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qmsUgHzH5lPHB*-ZNp6giwF*dAq2-KMEOgtdy2yppIs-DaF-yBMqfkJgTg6nc3sKoUaTjHT2mBLY7Lab8C7vM3SNlqRW6vJS/BACKAMANI.jpg)
AIBU ILIYOJE: MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMOeNs6MZSeDXJQzj*k*Kakxp51DeBh-BfdJc2CZoe45-VV5iudHJKdKoYy6s8VUYf6tiAI11qfOc7bbgbHFb1lD/BACKAMANI.jpg?width=650)
AIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
11 years ago
Mtanzania14 Aug
Bahanuzi amwonyesha Dida
![Said Bahanuzi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Said-Bahanuzi.jpg)
Said Bahanuzi
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.
Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.
Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq19q3AYPwwRh1gs*UYEEaWlOJMVeKLCr86xvmdyiGN9WYbKCrMmt8mtmSZpC9IbDvWKU7CrrjWxBInkBLWgduVRE/UTAJIRI.jpg?width=650)
UTAJIRI WA DIDA GUMZO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVnb3ruxOBgtQ1KYMNM1l9xeWC0P74ILCf2n89IE49bO3vXs8F9Mr8FJ1oI-vM4XfqfLBUjUgXMo57q2If1PlQ73/NDOA.jpg)
NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thNuVv-7FisJ1AhlJENfLG-Ox9oBQT2XFJZNg-KIiSqbr0G-GXGfC6Xwt3OFgCsPZc*NRqvMKfIDqyPElyusHBu/JEURI.jpg)
JEURI NYINGINE YA DIDA!