UTAJIRI WA DIDA GUMZO!
![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq19q3AYPwwRh1gs*UYEEaWlOJMVeKLCr86xvmdyiGN9WYbKCrMmt8mtmSZpC9IbDvWKU7CrrjWxBInkBLWgduVRE/UTAJIRI.jpg?width=650)
Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan AMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna walakini juu ya upatikanaji wake. Toyota Verossa ikiwa imepaki pembeni ya ghorofa analodaiwa kumiliki Dida. Kwa mujibu wa chanzo makini, Dida ana utajiri mnono lakini anafanya siri ili watu wasiulize alikoupatia kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Utajiri wa Irene Uwoya waanza kuwa gumzo, watu wahoji amepata wapi mali zote hizo. Mwenyewe afunguka na haya
Inadaiwa kuwa hali ya hewa imechafuka kwa msanii nyota wa filamu za Bongo Irene Uwoya ambapo ameshindwa kutaja vyanzo vya utajiri wake wa Ghafla, Hivi karibuni Uwoya alikaririwa akisema kuwa hawezi kutaja kazi nyingine anayofanya na utajiri aliokuwa nao kwani wapo baadhi ya watu hawapendi kuona mmoja wao akiendelea ...Alisema kuwa pamoja na magari anayomiliki ya kifahari hawezi sema ni njia gani amepata utajiri huo..Nimefanya Filamu kadhaa ambazo zimenipa hela na cha zaidi ni Jina ambalo...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s72-c/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s640/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Dida aanza kujihami
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycPl4daO70*LQsU9Ffp8Q9wnmITR0*twc5VeyTGFh0Hs4Hxh9zhzV10xxQETCmVLOI5*Wj5tq6LDEc8ABpyLTjec/dida.gif?width=650)
DIDA AIBU ILIYOJE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-a-FzCyHE-CPc1ecL0OYcTjYOwBgXhZ69uWaIS42wyohB-VmkWItCadhwZcIhlXqNB70AmkfREk3P83*GVTy0cmPPHnPjpF1/dida.jpg)
DIDA NDOA TENA!
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Bahanuzi amwonyesha Dida
![Said Bahanuzi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Said-Bahanuzi.jpg)
Said Bahanuzi
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Said Bahanuzi, ameendeleza kuonesha cheche zake za kurejea kwenye moto wake wa mwaka juzi, kwani jana alimuonesha cha moto kipa wa timu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’.
Bahanuzi alimpigia mashuti makali Dida, ambayo alishindwa kuyadaka, huku mawili kati ya hayo yakigonga mwamba wa juu na kujaa wavuni, jambo ambalo liliamsha hisia za mashabiki wa Yanga na kumsifia.
Mashabiki hao waliokuwa wakichungulia mazoezi ya Yanga kwa nje sambamba na MTANZANIA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0thNuVv-7FisJ1AhlJENfLG-Ox9oBQT2XFJZNg-KIiSqbr0G-GXGfC6Xwt3OFgCsPZc*NRqvMKfIDqyPElyusHBu/JEURI.jpg)
JEURI NYINGINE YA DIDA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwV48Ap1slAUjBX2aGdCNAd1MkUc*jlAWism9rc7AoSAseL0Wj6zVQC0Kn1o74nAfaHyb5hBrnmkvLd5jcoFJqu/dida1.jpg?width=650)
NDOA YA DIDA KUVUNJIKA;
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVnb3ruxOBgtQ1KYMNM1l9xeWC0P74ILCf2n89IE49bO3vXs8F9Mr8FJ1oI-vM4XfqfLBUjUgXMo57q2If1PlQ73/NDOA.jpg)
NDOA YA 3 YA DIDA YAVUNJIKA