Azam, Yanga katika mtihani mwingine VLP
ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC na Yanga leo wanatarajia kuendeleza vita ya ubingwa kwenye ligi hiyo.
Yanga watakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya kuvaana na Tanzania Prisons ya huko, huku Azam ikipepetana na Ruvu Shooting katika Uwanja wa Mabatini, Pwani.
Kitu kinachonogesha mechi hizo ni vita ya ubingwa iliyopo baina ya Yanga na Azam, ambazo zote zinakabana koo kileleni zikiwa na pointi 25.
Lakini Azam ipo kileleni kutokana na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Dec
Yanga, Azam zapewa mtihani Afrika

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jana, droo ya michuano ya 19 ya Klabu Bingwa Afrika mwakani na michuano ya 12 ya Kombe la Shirikisho barani ilichezeshwa kwenye makao makuu ya CAF jijini Cairo,...
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
11 years ago
Michuzi
KIINGILIO KATIKA MECHI YA NGAO YA JAMII KATI YA AZAM NA YANGA NI BUKU 5 TU!

Mechi hiyo itaanza saa 10 kamili jioni, na kiingilio hicho cha sh. 5,000 ni kwa viti vya rangi ya kijani na bluu vitakavyochukua jumla ya watazamaji 36,000 katika uwanja huo wenye viti 57,558.
Viingilio vingine katika mechi hiyo ambayo itatumia tiketi za elektroniki ni sh. 10,000 kwa viti vya...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana …
Mtu wangu wa nguvu kama kawaida naendelea kukusogezea kila kitu kinachonifikia kutoka Zanzibar katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Usiku wa January 5 ulipigwa mchezo wa nne wa Kundi B kwa kuzikutanisha timu za Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la Amaan. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusoogezee video ya magoli ya mchezo huo […]
The post Cheki video ya magoli ya Azam FC dhidi ya Yanga katika mechi ambayo ilikuwa ya kukamiana … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi15 May
Azam yasajili mkali mwingine
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Mtihani wa kwanza Somalia katika miaka 25
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Mbrazil mwingine atua Yanga
MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka nchini Brazil, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ amewasili jijini Dar es Salaam jana mchana akitokea Sao Paulo, Brazil, tayari kwa kuanza kazi ya kuitumikia klabu ya Yanga....
11 years ago
GPLMBRAZIL MWINGINE WA YANGA AANZA MAZOEZI YA NGUVU