Azam yasajili mkali mwingine
Klabu ya Azam FC imemsajili kwa mkataba wa miaka mitatu beki chipukizi wa kati, Abdallah Kheri Salum wa klabu ya Zimamoto ya Zanzibar.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Apr
Azam yasajili mshambuliaji wa Mali
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Azam yasajili mchezaji Ivory Coast
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Azam, Yanga katika mtihani mwingine VLP
ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC na Yanga leo wanatarajia kuendeleza vita ya ubingwa kwenye ligi hiyo.
Yanga watakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya kuvaana na Tanzania Prisons ya huko, huku Azam ikipepetana na Ruvu Shooting katika Uwanja wa Mabatini, Pwani.
Kitu kinachonogesha mechi hizo ni vita ya ubingwa iliyopo baina ya Yanga na Azam, ambazo zote zinakabana koo kileleni zikiwa na pointi 25.
Lakini Azam ipo kileleni kutokana na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6aHSoyQUx37zGZm61F9FU6I-8am5vlocDohjzOkLkqJ1eJumeYi69*eiDg1BCamQupeb2pCmwAOfgestbEd4MU9/filedinbeautifulflowers.jpg?width=650)
Simba SC yasajili Warundi wawili
10 years ago
Habarileo07 Aug
Yanga yasajili beki wa Togo
YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIn7jqG4WEY9*ym7V-JbXVosJf1oHaV0q65ragfzZCO5TTpdCMbgCjnvhwV84hV2qSlsj3Iplo3eZ95rPo8KxR8k/yanga.jpg?width=650)
Yanga yasajili kiungo usiku
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima
Mshambuliaji, Issofou Boubacar.
Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.
Haruna Niyonzima.
Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...
10 years ago
Habarileo14 Feb
NHIF yasajili wanachama wapya
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Morogoro umewasajili wanachama 53 wa Muungano wa Vikundi vya Wajasiriamali wa Manispaa ya Morogoro (SILC).