Yanga, Azam zapewa mtihani Afrika
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Azam FC wamepangwa kucheza dhidi ya El Merrikh ya Sudan katika Ligi ya Klabu Bingwa Afrika mwakani huku Yanga wakipewa timu ya BDF XI ya Botswana katika michuano ya Kombe la Shirikisho mwakani.
Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jana, droo ya michuano ya 19 ya Klabu Bingwa Afrika mwakani na michuano ya 12 ya Kombe la Shirikisho barani ilichezeshwa kwenye makao makuu ya CAF jijini Cairo,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi17 Feb
MASHINDANO YA AFRIKA: Azam, Yanga zapewa neno
9 years ago
Mwananchi13 Dec
Yanga, Azam zapewa mchekea
10 years ago
Mtanzania19 Feb
Azam, Yanga katika mtihani mwingine VLP
ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom, Azam FC na Yanga leo wanatarajia kuendeleza vita ya ubingwa kwenye ligi hiyo.
Yanga watakuwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya kuvaana na Tanzania Prisons ya huko, huku Azam ikipepetana na Ruvu Shooting katika Uwanja wa Mabatini, Pwani.
Kitu kinachonogesha mechi hizo ni vita ya ubingwa iliyopo baina ya Yanga na Azam, ambazo zote zinakabana koo kileleni zikiwa na pointi 25.
Lakini Azam ipo kileleni kutokana na...
10 years ago
Mwananchi10 Feb
MALENGO AFRIKA: Makocha Yanga, Azam wajipa matumaini
10 years ago
Michuzi16 Feb
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Yanga waikataa Azam Tv