Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MALENGO AFRIKA: Makocha Yanga, Azam wajipa matumaini

>Makocha wa Yanga na Azam wamebeba matumaini makubwa kuelekea mechi zao za kimataifa mwishoni mwa wiki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Makocha Azam, Yanga watambiana

Wakati kocha wa Azam, Stewart Hall akisema mifumo anayotumia na uimara wa kiuchezaji wa wachezaji wake ndiyo siri ya mafanikio yake, mwenzake wa Yanga, Hans Pluijm ametamba kuwa timu yake ina kikosi imara zaidi pengine kushinda timu yoyote nchini.

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga, Azam zapewa mtihani Afrika

Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Azam FC wamepangwa kucheza dhidi ya El Merrikh ya Sudan katika Ligi ya Klabu Bingwa Afrika mwakani huku Yanga wakipewa timu ya BDF XI ya Botswana katika michuano ya Kombe la Shirikisho mwakani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyowekwa kwenye mtandao rasmi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jana, droo ya michuano ya 19 ya Klabu Bingwa Afrika mwakani na michuano ya 12 ya Kombe la Shirikisho barani ilichezeshwa kwenye makao makuu ya CAF jijini Cairo,...

 

10 years ago

Mwananchi

MASHINDANO YA AFRIKA: Azam, Yanga zapewa neno

>Licha ya kushinda mechi zao za awali dhidi ya wapinzani wao, El- Merreikh ya Sudan na BDF XI ya Botswana, Azam na Yanga zimepewa angalizo zinapojiandaa kwa mechi za marudiano.

 

10 years ago

Mwananchi

Makocha waiponda Yanga

Makocha wanaofundisha katika klabu za Ligi Kuu wameukosoa uongozi wa Yanga kwa kumtimua kocha, Marcio Maximo kwa kutumia kisingio za mechi ya Mtani Jembe.

 

11 years ago

GPL

Makocha 35 wapigana vikumbo Yanga


Na Khadija Mngwai
KUFUATIA kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm, kumekuwa na mgongano wa hali ya juu baada ya zaidi ya makocha 35 kutuma maombi ya kutaka kuifundisha timu hiyo msimu ujao. Hivi karibuni Pluijm aliamua kuondoka klabuni hapo na kutimkia Uarabuni kwenda kufundisha soka baada ya kupata ofa kubwa. Akizungumza na Championi Jumamosi, Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto, alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Messi ajipa matumaini Azam FC

Mshambuliaji wa Azam, Ramadhan Singano ‘Messi’ amesema kuwa hakatishwi tamaa na kitendo cha kutopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo na ana uhakika atapata nafasi hiyo ndani ya kipindi kifupi kijacho.

 

9 years ago

Habarileo

Makocha wajaa mcheche Simba, Yanga

ZIKIWA zimesalia takribani siku mbili kabla ya pambano la watani wa jadi Simba na Yanga hofu imetanda kwa makocha na manahodha wa timu hizo baada ya kila mmoja kuona ugumu wa mechi hiyo.

 

11 years ago

GPL

Azam, Mtibwa kunogesha Tamasha la Matumaini

Kikosi cha timu ya Azam, FC Na Khadija Mngwai
TIMU za Azam FC na Mtibwa Sugar, zinatarajiwa kunogesha Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa kushuka dimbani siku hiyo kuonyeshana ubabe. Tamasha hilo litahusishwa na burudani kibao ikiwa ni pamoja na mechi za Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Simba na Yanga ambao wataonyeshana ubabe kwa kujua nani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani